Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Tatizo la madwmu wengi siku hizi wao wanachukulia relationship ni kama sehem ya kutatuliq matatizo yao ya ki fedha,Sasa Mjuba ukishavundua kuwa huyu mwanamke yuko attracted na mimi kisa hela,sidhani kama kuna haja ya kupiga kambi
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...

Ukisikia paaaa, ujue imekukokosa....aliyelenga hana shabaha na amefanya makosa.
 
Kumbe ndio kinacho wauma...kugegedwa na kuachwa.
Sasa kwa nini mnauza mbususu zenu?
 
Mkuu mada yako ina utenganifu kidogo, siku hizi wanawake na wanaume wote pasua kichwa ni mwendo wa kuviziana tu.

Kuna mademu pia siku hizi wanafanya hizi hit and run pia, yaani we unataka kupoa na utulivu mwenzako yuko mbali kabisa na ukweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mkuu hiyo nguvu ya kutaka mimi niende mbinguni ,ungeitumia kwa wengine ungeweza pata kondoo 10000000000 na yesu angechekelea sana.

Ni rahis sana kuwahubiria mashehe 10000 wa huko saudia wakakuelewa kuliko mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua kabisa utakataa yaaan nilijua tu 😆😂
 
Haya maisha ni kuwahiana, mimi nikikuwai na kukula alafu na kuacha, wewe ukiniwahi basi unanikausha damu wewe alafu unaniacha pia.

Sasa lazima tuwahiane
Duh! Kuwahiana ni maisha ya Simba,Nyati, Swala na Chui huko Serengeti.

Binadamu kuishi namna hiyo ni makosa.
Haya maisha ni kuwahiana, mimi nikikuwai na kukula alafu na kuacha, wewe ukiniwahi basi unanikausha damu wewe alafu unaniacha pia.

Sasa lazima tuwahiane
...
 
Back
Top Bottom