[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majeraha wapi wewe, tabia za ajabu ajabu na mizinga isiyoisha ndo inafanya mkimbiwe!
Umesahau USAFI... Harufu 🤧🤧😩Majeraha wapi wewe, tabia za ajabu ajabu na mizinga isiyoisha ndo inafanya mkimbiwe!
Kama hunogi jeNa nyie wengi wenu ni tamaa za kuonja onja. Kuna wanawake wako na sifa zote za kuwa bora ila mkishakula tu mnasepa hamna hata sababu za maana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mzee wa kujimwambafai nakumbuka ule uzi wakoNgoma hapa inakuwa kuviziana. Dada anabana asiliwe, kaka anakwepa asichunwe kabla ya kula. Matokeo yake mahusiano yanakufa. Ni ngumu sana kwa demu kutaka mahusiano bila kuliwa. Unless utaachwa tu.
Kuna ticha nilimuelewa sana. Nampa hela ndogo-ndogo lakini k anabana. Nilichomuelewa alikuwa muoga kugongwa na kuacha. Mapenzi anaonyesha, kwake naenda muda wowte. Ila kuliwa. Siku moja nikamkalisha kikao kumuuliza hivi umewahi kujiuliza mimi nyege zangu anatoa nani? Sikupata majibu ya juridhisha. Nikapita kushoto
Hakuna mwanamke asiyependa kuliwa na kuachwa .. ukimla alafu usimwache anakuona zoba na kuanza kukupelekeshaHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Kweli kabisa kuna wanawake wanajua kuforce sana hata kama ameshaona hatakiwi ye analazimisha tuuKwa sisi wanaume hiyo ni kawaida tu, ukileta ung'ang'anizi utapewa kila majina. Utaitwa stalker.
Shaggy katiks "Mr. Bombastic" mwisho wa verse ya kwanza anasema
"And I can take rejection
So tell me "Go to hell"."
Yani tushapangiwa juwa mwanamme akikataliwa anakubaki tu. Vinginevyo unaweza kupewa kesi.
Hawa wenzetu sasa.
Kuna wanawake hawataki kuachwa, wakiachwa wana mbinu za kijasusi za ung'ang'anizi.
Hii ni tabia mbaya sana.
Kwa sababu wengi ni misungoHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Pole Chief.Habari wakuu,