Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Hii dhana ya kutumia neno "kuliwa" mnaikuza ninyi wenyewe wanawake...

Ngono ni kitendo timilifu chenye kukutanisha mwanaume na mwanamke, ni kitendo cha kutendeana kwa kuwa huwa kuna makubaliano kabla, hakuna mtenda na mtendewa...

Ukitaja neno kuliwa tayari unaweka dhana ya mtenda na mtendwa, inakuwa kama kuna predator na prey...
 
Kuna kitu kinaitwa kupenda na kuna kitu kinaitwa nguvu ya pesa,, mwanamke hawezi kuruka vyote hapo lazima atanasa kwenye kimojawapo hapo.....

basi wasilalamike, wanachotakiwa kufahamu ni kuwa Uchi wake ndio utu wake, uchi wake ndio heshima yake lakini wao wameamua kuutumia kama silaha ya kupata wanavyovitaka.
 
Siwezi kumuacha mwanamke kama sijamkula several times,, na nikiona anataka kuniacha nitafanya vyovyote vile kumvuta karibu anogewe halafu namuandalia bomu la machozi litakalomliza siku zote 🤗

Baadhi yenu si mmeamua pesa ndo iwe priority yenu ya kwanza basi tutazichakaza sana hizo bwambaaa ....
 
basi wasilalamike, wanachotakiwa kufahamu ni kuwa Uchi wake ndio utu wake, uchi wake ndio heshima yake lakini wao wameamua kuutumia kama silaha ya kupata wanavyovitaka.
Yah hawapaswi kabisa kulalamika maana now days priority Yao ya kwanza kwenye mahusiano ni pesa,, na sisi tushafanya maamuzi, sahivi tunawachukulia kama vyombo vyetu vya starehe tu 🤗
 
Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
😂😂😂😂 Ahsante studio
Tena siku ya kukipeleka anavunja kabati ili akamtege..!!
Wanywe maji watulie maisha yaendelee
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.


Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Hii id ipo umu since 2014 means ni mtu mzima uyu anatype nonsense [emoji3][emoji3]wajinga nao huzeeka
 
Back
Top Bottom