Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Ujengewe mnara wako
Kuna mtu unakuta hajui hata kuipiga🥴ukitoka hapo hurudi tena...:Jueni kuikanyagia jamani🙄
Huu mwaka wanawake wa JF mmeuanza kwa kasi ya ajabu 🤣🤣 yaani mnaiishi kauli mbiu ya JF kwa vitendo
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Wewe nawe ushaliwa na kuachwa mkuu?. Aisifiaye mvua,.........
 
Hapo kwenye kuliwa na mwanaume kupita pembeni sio jambo la kuhurumiwa kabisa. Mtu anaweza akawa na Nia ya kuendelea ila mlivyokulana akaona hunogi abaki afanye nini sasa?

Labda turudi kama zamani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Asilimia kubwa ya wanaume timamu, mwanamke akinoga, na asiwe headache, huwa tunadumu. Hata kama isipofika ndoa, ila itakuwa ni long lasting relation.
 
Kwa wanaume wengi mwanamke ni chombo cha starehe ndio maana tunapiga na kusepa tunatafuta mwingine wa kumchezea

Hata kama utabahatika kuolewa naye ni ili awe anakukula kwa uhuru kama kiburudisho chake. Ukishachokwa unapandishwa cheo anatafutwa mchepuko/michepuko nyumba ndogo

Mwanamke ni chombo cha starehe
 
T
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao.t
 
Back
Top Bottom