🤣🤓Hahahahaha
Wala siyo sababu hyoHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Usinikorofishe na mke wa pastor,ninampatia pole kwa michango ya JF members maana wengine wanatoa maneno makali sana.🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤣 Kwamba mama mchungaji kaliwaa na kuachwa jamani!!
Tatizo lenu mlishaweka mentality kuwa mnaliwa. Kwani wee humkuli jamaa kama sio kummeza kabisaYaani kuliwa mara moja na kupita hivi??
Hasa tabia ya kuomba omba hela.Wala siyo sababu hyo
Una kuta mwanamke una tabia za kipumbavu na ubadiliki na nakukula nakuacha Chap
Kwa sisi wanaume hiyo ni kawaida tu, ukileta ung'ang'anizi utapewa kila majina. Utaitwa stalker.Hahahahahaha....ukipigwq kibuti unatakiwa kuwa mpole tu
Hahahahaha mie nikiona tu dalili za kibuti narudi nyuma fastaKwa sisi wanaume hiyo ni kawaida tu, ukileta ung'ang'anizi utapewa kila majina. Utaitwa stalker.
Shaggy katiks "Mr. Bombastic" mwisho wa verse ya kwanza anasema
"And I can take rejection
So tell me "Go to hell"."
Yani tushapangiwa juwa mwanamme akikataliwa anakubaki tu. Vinginevyo unaweza kupewa kesi.
Hawa wenzetu sasa.
Kuna wanawake hawataki kuachwa, wakiachwa wana mbinu za kijasusi za ung'ang'anizi.
Hii ni tabia mbaya sana.
Mkuu,Hahahahaha mie nikiona tu dalili za kibuti narudi nyuma fasta
Kunywa juice ya embe bill kwangu[emoji8]Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'
Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?
Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Yaani kuliwa mara moja na kupita hivi??
Hahahahaha..mambo ya kupimana ya nn tena ? Mie ukifanya kunipima ujue ndio ushanipoteza hivyoMkuu,
Hupimi urefu wa maji hata mara ya pili?
Utajuaje kama umepewa mtihani mdogo tu wa kukupima uvumilivu wako?
Natumaini mabinti wanachukua notes hapa 🤣🤣🤣Hahahahaha..mambo ya kupimana ya nn tena ? Mie ukifanya kunipima ujue ndio ushanipoteza hivyo
Hahahahaha..itakua vzr sanaNatumaini mabinti wanachukua notes hapa 🤣🤣🤣
Na ni mzuri sanaHuo ndio utaratibu.