Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 178,671
- 196,396
Mleta mada aweke video tuone kuliwa na kuachwa kukoje...
Mleta mada aweke video tuone kuliwa na kuachwa kukoje...
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa☺️!Mleta mada aweke video tuone kuliwa na kuachwa kukoje...
Mzabzab huyo!Tatizo lenu mlishaweka mentality kuwa mnaliwa. Kwani wee humkuli jamaa kama sio kummeza kabisa
Tena wee inaelekea uliliwa na kiachwa maana sio kwa tako skonsi hiloMzabzab huyo!
Hadi mie[emoji2763]Nakupenda Bebi
Hahahahahhahha sijawahi kuliwa.Tena wee inaelekea uliliwa na kiachwa maana sio kwa tako skonsi hilo
Woyooo[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Sawa,hakuna shida[emoji3061]
Shauri yako utaishia kuishi kwa wazazi mpaka uwe bibi.Hahahahahhahha sijawahi kuliwa.
Bora wewe msema ukweli wataamua wao.
Hili swala la kutafasiri haiba za watu kwa maandishi yao huku naona ni janga kubwa sana, kila comment "Mama mchungaji".Mada zako za siku hizi sizielewi mama mchungaji?
Okay....
Mara nyingi navyojua mimi ukiwa mtu wa mizinga sana lazima likukute hili,japo wapo wanawake wachache sana ambao sio kikosi cha mizinga ila hutendwa baada ya kuliwa.
Khee!!Mmezidi njaa!
Dah, binafsi nakimbia mizinga; mtu bila aibu anaomba harrier kweli?Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Uzuri hata yy mwenyewe hupenda kujiita hivyo,nishachangia thread zake nyingi na maada zake nyingi zilikuwa na mlengo wa kichungaji.Hili swala la kutafasiri haiba za watu kwa maandishi yao huku naona ni janga kubwa sana, kila comment "Mama mchungaji".
Ona sasa madhara ya kutokuliwa...saa tisa usiku unakumbatia marimba ya mzungu baadala ya kukumbatia de libolo 🤣🤣🤣🤣Hahahaha,Kelsea nipe somo