min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,595
- 171,913
Na cha kushangaza wanaamua kuliwa , ila bora uliwe na msema ukwel kuliko kuliwa na mnafki.Bora wewe msema ukweli wataamua wao.
Na cha kushangaza wanaamua kuliwa , ila bora uliwe na msema ukwel kuliko kuliwa na mnafki.Bora wewe msema ukweli wataamua wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtumishi wa Mungu naona siku hizi mada zako zinanichanganya sana,
Itabidi nikuombee huenda ni mapepo yanakujaribu,
Donatila
Shindwa kwa jina la yesu .Kataa ndoa mpo kazini
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Kabisa , tena mpite na sisi kisawasawa .Mimi ninachojua siku hizi wanawake ndio wanakula na kuacha.
Vile vya kulia kama zamani eti umeliwa umeachwa havipogo Tena labda huko kijijini wanaojua ukiliwa tu shurti uolewe.
Wanawake hawapendi kona kona kuwa wazi unataka mizigo ila na ww tia mzigo mezani kwa uwezo wako.Noma sana [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mkuu hiyo nguvu ya kutaka mimi niende mbinguni ,ungeitumia kwa wengine ungeweza pata kondoo 10000000000 na yesu angechekelea sana.We jamaa
Contrary to what you believe (or do not believe nnajua)
We jamaa unaenda mbinguni!!
Truthfulness [emoji818]
Integrity [emoji818]
Mbinguni moja kwa moja [emoji38][emoji38][emoji28]. Nnakusubiri uje kukanusha uwepo wake, utakoma mi ndo nishamaliza.
Kabisa bora ukubali kuliwa na mkwel ,kuliko mnafki.bora ujue ukweli from the begining
surelyKabisa bora ukubali kuliwa na mkwel ,kuliko mnafki.
😀 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari za Yesu ameacha kuposti kabisa...
Nadhani sasa amegeukia habari za upwiru
Kweli upwiru hauna Yesu wala Mungu [emoji1787]
Kuna pisi wala hazitaki hizo pigo za kudumu milele ,sijui kuoana , ukileta pigo za hivyo unapigwa mikausho mikali.surely
Do your research, mademu hawana tatizo na hilo ndio maana wanatoka na waume za watu huku wakijuwa dhahiri hakuna future hapo.Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Patamu hapaIla wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'
Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?
Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
WalishamtiaJe alikua bikra?
Hadi nimepata hamu ya kulana na wewe!Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'
Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?
Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Iko siku ataKILETA tu.Ngoma hapa inakuwa kuviziana. Dada anabana asiliwe, kaka anakwepa asichunwe kabla ya kula. Matokeo yake mahusiano yanakufa. Ni ngumu sana kwa demu kutaka mahusiano bila kuliwa. Unless utaachwa tu.
Kuna ticha nilimuelewa sana. Nampa hela ndogo-ndogo lakini k anabana. Nilichomuelewa alikuwa muoga kugongwa na kuacha. Mapenzi anaonyesha, kwake naenda muda wowte. Ila kuliwa. Siku moja nikamkalisha kikao kumuuliza hivi umewahi kujiuliza mimi nyege zangu anatoa nani? Sikupata majibu ya juridhisha. Nikapita kushoto