Kataa ndoa mpo kaziniBinafsi mimi huwa nawaambia kabisa sina mpango wa kukuoa au kudumu na wewe mwaka mzima na wala hawajali hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu kuna muda mtu unataka tu kuliwa...nyege mchezoWanawake muda mwingine tunatafutiwa huruma tusizozitaka
Kuliwa kupo tu,kwa hali ya kawaida inaeleweka kila mtu ana genye zake
Sasa mtu anategemea akiliwa ndio iwe tiketi ya till death do us part loh!! 🤦♀️
Wa hivyo anataka akutumie kiuchumi afu apite hivi[emoji4]Ngoma hapa inakuwa kuviziana. Dada anabana asiliwe, kaka anakwepa asichunwe kabla ya kula. Matokeo yake mahusiano yanakufa. Ni ngumu sana kwa demu kutaka mahusiano bila kuliwa. Unless utaachwa tu.
Kuna ticha nilimuelewa sana. Nampa hela ndogo-ndogo lakini k anabana. Nilichomuelewa alikuwa muoga kugongwa na kuacha. Mapenzi anaonyesha, kwake naenda muda wowte. Ila kuliwa. Siku moja nikamkalisha kikao kumuuliza hivi umewahi kujiuliza mimi nyege zangu anatoa nani? Sikupata majibu ya juridhisha. Nikapita kushoto
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Ujengewe mnara wako wa heshima kabisa.Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'
Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?
Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Daah,kuna muda natightiwa kweli...dah😘😀 😀 😀 😀
Wanajua tunapenda huruma wanapita humo humo. Hapo kwenye kuliwa na mwanaume kupita pembeni sio jambo la kuhurumiwa kabisa. Mtu anaweza akawa na Nia ya kuendelea ila mlivyokulana akaona hunogi abaki afanye nini sasa?Wanawake muda mwingine tunatafutiwa huruma tusizozitaka
Kuliwa kupo tu,kwa hali ya kawaida inaeleweka kila mtu ana genye zake
Sasa mtu anategemea akiliwa ndio iwe tiketi ya till death do us part loh!! [emoji2356]
Afu Kuna na ile kauli ya kuchezewa, sjawai kuelewa mantiki yake, hasa kea wadada wa kizazi hiki
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.
Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.
Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.
Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.
Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.
Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.
Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.
Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.
Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.
Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Na nyie wengi wenu ni tamaa za kuonja onja. Kuna wanawake wako na sifa zote za kuwa bora ila mkishakula tu mnasepa hamna hata sababu za maana.
Wanajua tunapenda huruma wanapita humo humo. Hapo kwenye kuliwa na mwanaume kupita pembeni sio jambo la kuhurumiwa kabisa. Mtu anaweza akawa na Nia ya kuendelea ila mlivyokulana akaona hunogi abaki afanye nini sasa?
Labda turudi kama zamani hakuna kukulana kabla ya ndoa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Heee!😂😂Ujengewe mnara wako wa heshima kabisa.
Ushaanza na ww,..unataka kutupandisha midadi!!Kuna mtu unakuta hajui hata kuipiga🥴ukitoka hapo hurudi tena...:Jueni kuikanyagia jamani🙄