Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Kwa nini wengine mnakuwa ving'ang'anizi hamtaki kuachwa?

Ni tabia mbaya sana.
 
Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Tena mtu mzima na akili yake mpaka kukuvulia Pichu kwa ridhaa yake,sasa lawama za nini?

Bora mkuu umekua mkweli,ngoja nikakutafutie zawadi yako.
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...

Unachoongea ni ukweli ila ni pande zote. Hata wanaume wanaachwa sana na wanawake.

Pili wanawake wanapenda maisha ya maigizo.

Hakuna kazi ngumu kama kupate mwanamke hasa kama unatafuta mwanamke aliyenyooka.

Mwanaume ukiwa na kipato kilichonyooka ni ngumu sana kupata mwanamke sahihi wa kuweka ndani.

Naongea through experience. Kuna watu zaidi ya miaka mitatu wanatafuta mke hawampati. Wanapata mademu tu wanaopenda maigizo
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Mada zako za siku hizi sizielewi mama mchungaji?

Okay....
Mara nyingi navyojua mimi ukiwa mtu wa mizinga sana lazima likukute hili,japo wapo wanawake wachache sana ambao sio kikosi cha mizinga ila hutendwa baada ya kuliwa.
 
Lawama nyngn mnatusabishia wenyewe,

Imagine mwanamke anakutongoza ujamuelewa unamkataa, anakushawishi ili msex bado unamkataa.

Akitoka Apo anaenda kukutangazia utakua Ni zoba JOGOO wako hapandi mtungi[emoji4]
 
Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Afu Kuna na ile kauli ya kuchezewa, sjawai kuelewa mantiki yake, hasa kea wadada wa kizazi hiki
 
Back
Top Bottom