Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
Angalau umeeleza ukweli...
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
wengi ukiwagusia habari ya kwenda kuishi kijijini unaona namna anavyokula kona ata kama tayari umeshapita nae....

Lakini hata na hivyo kila jambo na wakati wake kwa Neema na Baraka za Mungu..
 
Huu mchezo hauiitaji hasira, ukiwahiwa kubali endelea na maisha.

Tatizo la ke wengi vigezo na masharti ni vingi mkitafuta type yenu, huko kwenye kutafuta ndio mnakutana na vitu vizito. Ukiongeza na tamaa ya pesa lazima uliwe uachwe.

Mwanamke ukishatanguliza pesa mbele kama kigezo kikuu kwa mwanaume tegemea kutumiwa na kuachwa. Apa siwazungumzii wale wasiojua kubana miguu yao maana hawa huwa wanajitakia.
 
Wapi nyie, utamu mnauhisi wote..
images (6).jpeg
 
Binafsi mimi huwa nawaambia kabisa sina mpango wa kukuoa au kudumu na wewe mwaka mzima na wala hawajali hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa

Contrary to what you believe (or do not believe nnajua)

We jamaa unaenda mbinguni!!
Truthfulness ✔
Integrity ✔

Mbinguni moja kwa moja 😆😆😅. Nnakusubiri uje kukanusha uwepo wake, utakoma mi ndo nishamaliza.
 
Huu mchezo hauiitaji hasira, ukiwahiwa kubali endelea na maisha.

Tatizo la ke wengi vigezo na masharti ni vingi mkitafuta type yenu, huko kwenye kutafuta ndio mnakutana na vitu vizito. Ukiongeza na tamaa ya pesa lazima uliwe uachwe.

Mwanamke ukishatanguliza pesa mbele kama kigezo kikuu kwa mwanaume tegemea kutumiwa na kuachwa. Apa siwazungumzii wale wasiojua kubana miguu yao maana hawa huwa wanajitakia.
Ni kweli
 
Ngoma hapa inakuwa kuviziana. Dada anabana asiliwe, kaka anakwepa asichunwe kabla ya kula. Matokeo yake mahusiano yanakufa. Ni ngumu sana kwa demu kutaka mahusiano bila kuliwa. Unless utaachwa tu.
Kuna ticha nilimuelewa sana. Nampa hela ndogo-ndogo lakini k anabana. Nilichomuelewa alikuwa muoga kugongwa na kuacha. Mapenzi anaonyesha, kwake naenda muda wowte. Ila kuliwa. Siku moja nikamkalisha kikao kumuuliza hivi umewahi kujiuliza mimi nyege zangu anatoa nani? Sikupata majibu ya juridhisha. Nikapita kushoto
Je alikua bikra?
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Halafu hii dhana ya kwamba wanawake wanaliwa na wanaume haijakaa sawa kibayolojia!!

Hebu fikiria Kwa kina kati me na ke nani anaemla mwenzake!!?

Yaani nani anaenyonywa na mwenzake ki mahusiano!!?nani mwenye kuumizwa zaidi kama sio mwanamme!!?

Unawekeza Hela,matunzo Hadi ulinzi wewe unawekeza umbo tu na ikulu halafu useme unaliwa badala kula!!?

Mi nahisi wanaume ndio tunaliwa na wanawake huo ndio ukweli!!

Kama ni muda anaepoteza mwingi na nguvu ni sisi wanaume!!!
 
Back
Top Bottom