Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Halafu hii dhana ya kwamba wanawake wanaliwa na wanaume haijakaa sawa kibayolojia!!

Hebu fikiria Kwa kina kati me na ke nani anaemla mwenzake!!?

Yaani nani anaenyonywa na mwenzake ki mahusiano!!?nani mwenye kuumizwa zaidi kama sio mwanamme!!?

Unawekeza Hela,matunzo Hadi ulinzi wewe unawekeza umbo tu na ikulu halafu useme unaliwa badala kula!!?

Mi nahisi wanaume ndio tunaliwa na wanawake huo ndio ukweli!!

Kama ni muda anaepoteza mwingi na nguvu ni sisi wanaume!!!
Wanaume tunanyonywa mno na tunakandamizwa na wanawake, ila bado watu hawajashtukia. Mtu unakuwa na mademu wawili au wanne au hata mmoja. Mwingine mweupe, mwingine ana TAKO KUBWA, mwingine modo.

Unatumia pesa ulizotafuta kwa jasho na nguvu zote kumpa yeye. Ila yeye anakupa K ambayo kazaliwa nayo Bure, au kisa ana Tako kubwa, ambapo ni chakula cha mwili kinachozalisha mafuta ambayo yaenda kukaa kwenye tako, mapaja na mahipsi buuure kabisa. Au anakuzuzua na weupe ambao kazaliwa nao bure. Unaona hiyo ni haki? Sikuhizi wanaiita girlfriend allowance


Bora puli
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.


Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
Uwe wahi kuwalaani wangapi😄
 
Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
jinsi gani wewe mbona nimekupenda
 
Back
Top Bottom