Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,508
- 9,994
Ni sawa.Haina shida mkuu kila la kheri but I said what I said
You’ll never catch me living in Goba,Salasala,Mbezi,Madale,kimara and the likes. I’ma City Boy.
Of course mkuu hata uzi huu unalitambua hilo.Hizo nyumba zipo kwa ajili ya watu Kama wewe huwezi bas Kuna watu wanaweza
Ni kama tu wengine wanavyo kunywa bia wengine soda , maji , Hennessy nk, wote mnakunywa.
Au Kama tu wengine wanatumia techno na wengine I phone 17 pro max nk, wote mnawasiliana
So ipo hvyo kwenye kila kitu
Nisahihi kabisa sema nilihamia hapa baada ya nilipo kuwa kodi kuwa mzigo haikuchukua hata mwezi mshahara ukapanda mara dufu kwa stress nilizokuwa nimepitia nilikotoka nikaona nikihama tena itakuwa kiuchumi haiko vizuri.Uko safe side sababu una fixed income, lakini unatakiwa uishi standard life hata kama income ni ndogo, adjust kidogo mpaka 10, kuna namna akili ita tune kuongeza income ku meet expenses zitakazokuwa zina arise ukiwa katika mazingira ya 10 au 15% ya hiyo take home.
Yaa Goba maisha mazuri mimi nipo hapa NjianneMzee watu wa Goba tuache kabisa aisee tuna dunia yetu
Kumbe wewe homeboy kabisa mkuu,mi nakula kushoto MatosaYaa Goba maisha mazuri mimi nipo hapa Njianne
Mimi wazazi wote walitangulia mbele za haki kwahyo kwetu ndio kwangu sasahvi..😀 Bora wewe mkuu wengine hawana urithi na hawataki kuacha urithi.
Pay As You Earn, mazingira yana influence kubwa kwenye maisha ya mtu. Ukiishi mazingira fulani unajitanabaisha wewe ni mtu aina gani.Nisahihi kabisa sema nilihamia hapa baada ya nilipo kuwa kodi kuwa mzigo haikuchukua hata mwezi mshahara ukapanda mara dufu kwa stress nilizokuwa nimepitia nilikotoka nikaona nikihama tena itakuwa kiuchumi haiko vizuri.
Hakika mkuu na nimalimbukeni wakutupwa.Watanzania wengi wametokea Kijiji hiki na wamesoma hapo, ndiyo Maana ni MAFALA
View attachment 3668299
😀😀Mpo katika nyumba zenu huko, huku mnawaingiza chaka madogo....JF bhana akili kumkichwa.Tutaendela kupanga na hakuna kitu utafanya
Mpaka huruma wanamacho lakini hawaoni.Tangu nisome somo la saikolojia watu wa namna yoyote Huwa hawanisumbui hii Dunia hayo mambo yapo na Kuna zaidi ya hayo unaweza kuwasikiliza Kisha ukaendelea na majukumu yako hujui ujanja mwingi mbele kiza
Mpaka huruma wanamacho lakini hawaoni.Tangu nisome somo la saikolojia watu wa namna yoyote Huwa hawanisumbui hii Dunia hayo mambo yapo na Kuna zaidi ya hayo unaweza kuwasikiliza Kisha ukaendelea na majukumu yako hujui ujanja mwingi mbele kiza
Nyumba ya kupanga si ya kuchagua sana, si ya kujaza vitu vingi, hiyo ni kambi ya muda tu na haipaswi kuwa ya gharama kubwa.
Ni kama wale wanaosema ndoa ni utapeli Halafu wana ndoa zao🤣🤣😀😀Mpo katika nyumba zenu huko, huku mnawaingiza chaka madogo....JF bhana akili kumkichwa.