Kulipa kodi kubwa sio sifa

Nimekuelewa mkuu, tufanye mishe zako zipo town zile nauli za kla siku unazotumia ungekuwa umepanga town uoni kma ungekuwa unasave kiasi fulani
 
Haina shida mkuu kila la kheri but I said what I said

You’ll never catch me living in Goba,Salasala,Mbezi,Madale,kimara and the likes. I’ma City Boy.
 
Maisha ni rahisi sana,Sijui kwanini watu wanataka kuyafanya yawe magumu
Wengine wamezaliwa kusumbukia vitu vya ulimwengu, japo ndio hvo kila mtu anakitu chake kinachompa furaha... naweza kukaa nyumba ya 45,000 na nikamiliko gari ya milion20, naweza kuvaa suruali ya 5000 na nikawa na simu ya 2 milion
 
kodi yangu ya pango ni asilimia 5 tu ya take home yangu.

Uko safe side sababu una fixed income, lakini unatakiwa uishi standard life hata kama income ni ndogo, adjust kidogo mpaka 10, kuna namna akili ita tune kuongeza income ku meet expenses zitakazokuwa zina arise ukiwa katika mazingira ya 10 au 15% ya hiyo take home.
 
Watanzania wengi wametokea Kijiji hiki na wamesoma hapo, ndiyo Maana ni MAFALA
 
Mkuu Vijana/watu wengi Tanzania wanakutu kwenye akili zao wanahitaji msasa mkali sana.

Kwabahati mbaya hakuna wakuwapiga msasa huo. So wacha wachache walio jitambua waendelee kula pesa za hawa watu wenye kutu vichwani mwao.
 
Tangu nisome somo la saikolojia watu wa namna yoyote Huwa hawanisumbui hii Dunia hayo mambo yapo na Kuna zaidi ya hayo unaweza kuwasikiliza Kisha ukaendelea na majukumu yako hujui ujanja mwingi mbele kiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…