Kiukweli UV CCM kwa safu iliyopo top level hakuna kitu kabisa!. Huyo Chair ndio kabisa hata hadhi hana!. Afadhali angekosa hadhi lakini zimo!, pale hakuna kitu kabisa!. Marehemu Sharo angekuwepo angewapa live kwa "hapo mmebugi men!".
UWT nako mamdogo kachokwa kama CCM ilivyochokwa!, enzi za uchakubimbi na kugaiana ndizo sifa kuu za uongozi wa UWT zimepita!. Sasa uongozi ni uwezo ambao chair wenu hana!.
Wazazi kidogo there is hope kama hii kasi mlioanza nayo siyo nguvu ya soda!, tatizo lenu chair ni mission town!, halafu amezungukwa na wapambe ambao baada ya kufeli maisha kwinginepo wanataka kuponea kwenye siasa at late age!, dalili za over ambitious zinaonekana wazi when things turn upside down, frustrations is the end product and soon they'll start back biting and they'll hit them hard where it pains more!.
Public queries kama hizi nazo ni dalili!, kwa sababu wenye chama chao wanao utaratibu wao wa kuulizana ndani kwa ndani kwenye vikao!, Leo jf sasa ndio inaokana pa CCM kuulizana!.
Ama kweli jioni ya CCM inakaribia!, tutake tusitake giza litaingia!, na matumaini ya hauchi hauchi ili kuendelea kulala usingizi, hatimaye yatatoweka na kutakucha kwa Tanzania yenye mwanga mpya inawezekana!.
P.