Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,085
...kwa hiyo, katibu wenu Shigela na mwenyekiti wake - wao ni makanyagio siyo??
Amesaidia kuufahamisha umma!
...kwa hiyo, katibu wenu Shigela na mwenyekiti wake - wao ni makanyagio siyo??
Mbona vichwa ndani ya CCM vimejaa tu tatizo hekima na maarifa hakuna kabisa.Lazima wagawanyike tu. Hali ya kisiasa iliyopo sasa bila vichwa vyenye hekima hawawezi.
Hao vijana wanasubiri kutumiwa tu na makundi yenu ya urais 2015, subiri wakianza utawasikia tu!
Hivyo vichwa vina madaraka gani ndani ya UVCCM? Mkuu ina maana Mwenyekiti na Katibu si vichwa?
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?
- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Le Mutuz Live In Mbeya!!

Mzee,unadhani kwa tuhuma na umbea mnaoeneza utawaimarisha kisiasa?
All these lamentations and moans are not worth a brass farthing.
Your attempt to substitute petty political schemming for Politics cannot deter my political ambitions.Chunga sana.
Makundi yenu huko UVCCM myamalize huko.Jumuiya yenyewe imeshajifia hadi makada wenzenu kama W.J. Malecela anahoji uhai wenu mnatafuta pa kufufukia kupitia watu wengine?Leave me out of these groundless insinuations and equivocations! Nonesense
Tumaini Makene siyo kugeuka bali huwa nasema ninachokiamini kuwa ni sahihi kwa mujibu wangu. Huwa sisukumwi na itikadi bali nasukumwa na utashi wanguKimbunga
Mara moja moja, huwa unawageukia eeh! Haya mkuu.
- Mh. Jerry Silaa ni Meya wa Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mjumbe wa NEC kutokea UVCCM taifa, Mh. Deo Ndejembi ni Mjumbe wa NEC kutokea UVCCM, na Mh. Anthony Mavunde ni Mjumbe wa NEC kutoka UVCCM. Hawa wote ni vichwa ila hawajapewa nafasi huko!!
Le Mutuz
Le Baharia bwana huwa una mambo! Kwa hiyo walio na madaraka huko hawakustahili?
- Nimewaomba tu kuwatumia hao vichwa waliomo ndani yao!!
Le Mutuz