Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!

watakuja na nini wakati hawana jipya? tena hivi yupo mzenji ndo anawaza urojo tu yeye ...
 
Le Mutuz
Hebu acha vituko mkuu wewe jikusanyie posho zako kama zilivyolengeshwa na wakubwa wa chama chetu ninaamini kabisa mwisho wa ziara hizi utakuwa na mtaji wa kuanzia maisha Bongo, mambo ya UVCCM yaache manake chama chetu chenyewe mvuto kwa wananchi umekuwa wa kuvuta na manati mpaka tulete wasanii wote kwenye mikutano ndo watu waje na uvccm wanajua yote haya so wamechagua kula pozi waangalie minyukano ya makundi chamani, wewe huwezi kushangaa kwa nini wale madogo walofukuzwa cdm wapewe kipaumbele kiasi kile utafikiri chama hakina vijana, unadhani hiyo ni sawa??
Mmh
 
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!
Hivi we Jamaa upo kweli ? mara ya mwisho tulionana kwenye futari aliyoandaa Makonda alipokuwa RC , mimi nilikuja na msela wangu Babu Tale
 
Back
Top Bottom