Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

1011568_540261596027701_548718420_n.jpg
wapo kwa hii dili kwanza ili zipatikane hela za uchaguzi 2015
 
Unategemea nn m/mwenyekiti Mboni Mhita anapoisaliti nafasi yake kwa kuendekeza ngono na baadhi ya makada wa upinzani akina Ben Saanane.Tatizo jumuiya yetu ina watu walioshinda kwa rushwa na si mapenzi kwa chama badala yake wanaendekeza uzinzi tu.Kuwa na mwanamke katika nafasi za juu za jumuiya tunahatarisha maslahi na siri zetu zipo uchi

Mahaba ya watu wawili wewe yanakuhusu nini?Kwani Ben au Mboni walitumia kiungo chako?Mbona wabunge wenu wana uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wapinzani.?kama ni kuibiwa siri na nyaraka zenu anzeni na hao wabunge kisha mmalize na shigela kabla hamjamshughulikia Mboni
 
tatizo ni kukosa mwongozo sahihi, mi nafikiri wao kama wao wanasubiri kumezeshwa baadhi ya points ili wazikimbili lakin kila likitokea jambo akina Shonza na kundi lake ndio wankuwa wasemaji wakuu na hvo wengine kuamua kula kuona kuchek movie itaishiaje
 
Hivyo vichwa vina madaraka gani ndani ya UVCCM? Mkuu ina maana Mwenyekiti na Katibu si vichwa?

Mavunde na Ndejembi ni viongozi wa UVCCM wakitokea Dodoma kama yy!Huyu Le Mutuz ni mkabila sana!

Hapa anacho jaribu kutuambia vijana wa Dodoma ndiyo hawa vichwa ndani ya UVCCM!
 
Wewe ulieleta mada ndio ulitakiwa utusaidie ni kwa nini ! kwa kuwa wewe ndio uko ndani ya ccm, wewe ndo utakuwa unajua zaidi.au wewe sio kijana?
 
UVCCM kwa sasa ina vichwa vitatu vikuu ambavyo vinafanyakazi usiku na mchana kuhakikisha CCM inazidi kupendwa sana. Vijana hao ni Mtera Mwampamba, Juliana Shonza na Tesha 'Tindikali' wengine waliobaki ama wamezubaa au CCM imewatupa.

mbona umemsahau yule mkuu wao mwenye vyeo lukuki DPP,IGP.DCI,RPC.. Mwigulu Nchemba hawa ndio uvccm bana!
 
Last edited by a moderator:
unataka kujua kama wapo ? Mwaga posho mlangoni , uone maajabu ! Utashangaa watakavyokurupuka na kutupiana makonde !
 
Wewe ulieleta mada ndio ulitakiwa utusaidie ni kwa nini ! kwa kuwa wewe ndio uko ndani ya ccm, wewe ndo utakuwa unajua zaidi.au wewe sio kijana?

Mkuu , huyo siyo kijana , miaka 55 bado kijana ?
 
sasa kama wamekosa pont zenye mashiko, unataka waanze kubwabwaja bwabwaja (kusema hovyo) kama chizi?

Wewe kama una hoja wape point wazilete kwa wadau tuone kama zinaeleweka, hao magamba wanazidi kufa kifo cha mende na ndo maana kila gamba limefyata mkia, wa tz wa sasa sio wa enzi za TANU youth league,
 
Hao vijana wanasubiri kutumiwa tu na makundi yenu ya urais 2015, subiri wakianza utawasikia tu!
 
UVCCM haipo kimya hata kidogo. Wapo busy sana na siasa za majitaka. Wameweka kambi hapa mtandaoni.

Kuna vichwa mahiri kabisa katika muktadha huo. Vichwa hivyo ni faizafoxy, scramble, lizaboni, chama, hamy-d, zomba, ritz, geniusbrain, and the like.
 
UVCCM imepata uhai mpya baada ya kubahatika kuwapata rejects wa BAVICHA Shonza na Mwampamba (Msema uongo aliyefungiwa na moderators kwa uongo).
 
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!

“Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa,” Mateo Qaresi (July 2013).
 
Mahaba ya watu wawili wewe yanakuhusu nini?Kwani Ben au Mboni walitumia kiungo chako?Mbona wabunge wenu wana uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wapinzani.?kama ni kuibiwa siri na nyaraka zenu anzeni na hao wabunge kisha mmalize na shigela kabla hamjamshughulikia Mboni

Siri na nyaraka za jumuiya haziwezi kuwa salama kwa kuwa mapenzi ni kitovu cha uzembe
 
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!

uvccm ilishakufa rasmi baada ya mambo yote kuwekwa kwa makada wawili waliosaliti chama la ukweli.Fyonza na bwawa la mtera.
 
Back
Top Bottom