Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

Field Marshall ...wewe ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana .".....nafikiri haya uliyoyasema hapa utakuwa umewashauri vikaoni ..,unaona kimya

naona kuna na wengine wanawatuhumu Mwenyekiti ni kichaa....MAkamu ni kicheche ...na Katibu Malaya ...nadhani those are too personal attacks without justification

- Kwanza heshima yako sana mkuu, sawa sawa mimi ni mjumbe wa baraza lao la Taifa, juzi nilikuwa kwenye ziara Kilimanjaro siku tunayoondoka Mwenyekiti wa UWT ndio aliingia na yeye Kilimanjaro, ilitakiwa siku anapoondoka Mwenyekiti wa Vijana awe naye anaingia, sio siri mara ya mwisho kwenye kikao Dodoma niliwashauri sana haya niliyoyasema hapa, nashangaa sana kuona wapo kimyaa!!

- Kaka wa Mama yangu mzazi Marehemu Elly Anangisye, ndiye aliyenifanya nianze kuwa na interest ya siasa toka nikiwa mdogo kwa sababu akiwa Katibu Mkuu wa TANU Youth League, alipishana mawazo na Mwalimu, akawekwa kizuizini so nikiwa mdogo nilishiriki sana kwenda kumuona Jela, it made me think a lot kuhusu siasa to this days. Sasa viongozi kama yeye walikuwa serious na Umoja wa Vijana wa Chama chochote cha Siasa Duniani ukiwa lege lege basi na chama kitakuwa hivyo hivyo!!, nashangaa UVCCM umejaa vichwa wengi sana, sasa kulikoni kuwa mstari wa mwisho badala ya mstari wa mbele?

Le Mutuz
 
uvccm ilikuwa enzi za kina Nchimbi, Malisa na kadhalika. Hawa wa sasa hamna kitu. Wanawaulia jumuiya yenu. Waambieni waje kujifunza uongozi Bavicha. Waache kwenda kuomba radhi na baraka kwa kina komandoo maana hata hao kina komandoo hawakuwa na lolote na kujivunia
 
Nyie si mnasemaga Vijana ni Taifa la kesho?Wanasubiriaga kwanza, maana nao wanautakaga uongozi!
 
- Kwanza heshima yako sana mkuu, sawa sawa mimi ni mjumbe wa baraza lao la Taifa, juzi nilikuwa kwenye ziara Kilimanjaro siku tunayoondoka Mwenyekiti wa UWT ndio aliingia na yeye Kilimanjaro, ilitakiwa siku anapoondoka Mwenyekiti wa Vijana awe naye anaingia, sio siri mara ya mwisho kwenye kikao Dodoma niliwashauri sana haya niliyoyasema hapa, nashangaa sana kuona wapo kimyaa!!

- Kaka wa Mama yangu mzazi Marehemu Elly Anangisye, ndiye aliyenifanya nianze kuwa na interest ya siasa toka nikiwa mdogo kwa sababu akiwa Katibu Mkuu wa TANU Youth League, alipishana mawazo na Mwalimu, akawekwa kizuizini so nikiwa mdogo nilishiriki sana kwenda kumuona Jela, it made me think a lot kuhusu siasa to this days. Sasa viongozi kama yeye walikuwa serious na Umoja wa Vijana wa Chama chochote cha Siasa Duniani ukiwa lege lege basi na chama kitakuwa hivyo hivyo!!, nashangaa UVCCM umejaa vichwa wengi sana, sasa kulikoni kuwa mstari wa mwisho badala ya mstari wa mbele?

Le Mutuz
Wewe juzi kwenye thread yako inayohusiana na ardhi ya Mbeya haijatendewa haki kwa rutuba yake si ulikataa kwamba mama yako si mnyakyusa na kwamba baba yako alikuwa mkuu wa wilaya ya Tukuyu wakati hakuna wilaya hiyo mkoani Mbeya isipokuwa Tukuyu ipo wilayani Rungwe? Ulikuwa unaongopa au ulisahau kabila la mama yako?
 
usije ukaumiza ubongo wako kwa ajili ya huyu mtu! mchumia tumbo anaweza sema lolote ili kuridhisha mazingira ya wakati ule.Ukiona comments zake za miaka mitatu iliyopita kuhusu hicho chama chake,usingemuuliza hilo swali.

Ndiyo maana huwezi muelewa anasimamia nini,usishangae hata siku akiwa anampigia debe mamvi,anawabeza wazee wanaotaka serikali tatu wakati J Malecela ndio mmoja wa waasisi wa wazo hilo,kama anaweza beza kwa maneno ya kejeli wazo la babake nini kukataa kabila la mama?

Mkumbusheni pia wale rafiki zake anaowasifia kwenye blog yake na kuwaita superfriend,construction King na Mtanzania mwenye utajir wa ajabu huku site wanaambiwa ndio wenye mzigo wa Masogange!!Hili jamaa linawaaibisha sana wabeba box anavyoshobokea wanaume wenzie
 
Mzee,unadhani kwa tuhuma na umbea mnaoeneza utawaimarisha kisiasa?

All these lamentations and moans are not worth a brass farthing.

Your attempt to substitute petty political schemming for Politics cannot deter my political ambitions.Chunga sana.

Makundi yenu huko UVCCM myamalize huko.Jumuiya yenyewe imeshajifia hadi makada wenzenu kama W.J. Malecela anahoji uhai wenu mnatafuta pa kufufukia kupitia watu wengine?Leave me out of these groundless insinuations and equivocations! Nonesense

Duh Shemeji yetu hii mipasho mzee Yusuph na Khadija Kopa hawaoni ndani.Umewapoteza mbaya.

Halafu huu ubabe na jeuri ya ngeli uliyomwaga hapa ni siasa tu maana ukweli mnaujua wenyewe na uzinzi wenu.Ipo siku mtaanzisha bonanza la vijana la kumegana sasa coz naona uzinzi hauna itikadi.Hivi huko Chadema umewamaliza hadi urukie jumuiya yetu mkuu?Punguza uroho shemeji yetu
 
Tutafsirie hii lugha shemeji ben. Sisi uvccm hatuelewi haya pia naomba uache kuchanganya madada zetu akina eddah na mboni mhita.

Shemeji analeta dharau na jeuri ukweni.Mila za kiafrika haziko hivyo.CCM tuna vyombo maana Shemeji yetu huyu pamoja na misimamo mikali lakini kwenye 6 by 6 au 8 by 8 inawezekana akawa anabadili tone kama Dovutwa au Lyatonga Mrema awapo kwenye mkutano mkuu wa CCM.Hi hi hiiii....K noma
 
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!

ccm imechokwa. we unajihangaisha bure. kuna vitu vya kusifia miaka hii siyo ccm.
 
Duh Shemeji yetu hii mipasho mzee Yusuph na Khadija Kopa hawaoni ndani.Umewapoteza mbaya.

Halafu huu ubabe na jeuri ya ngeli uliyomwaga hapa ni siasa tu maana ukweli mnaujua wenyewe na uzinzi wenu.Ipo siku mtaanzisha bonanza la vijana la kumegana sasa coz naona uzinzi hauna itikadi.Hivi huko Chadema umewamaliza hadi urukie jumuiya yetu mkuu?Punguza uroho shemeji yetu

kwani yale mambo yana uchama jirani?? lakini inawezekana maana nilisikia cheti cha green guard kinasema wapinzani wa chama ni adui....
huku upinzani hakuna masharti hayo... Baba anaruhusiwa kuwa Chadema Mama CUF mtoto mdogo CCM tunapingana kwa Hoja tu ila wote ni wa TZ.
 
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?

- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz Live In Mbeya!!

sasa hivi uvccm vichwa ni mtela mwampamba na juliana shonza....
na alie wapa shavu ni baba lao mwigulu...wakati kwa chadema wana onekana mizog@...
nikweli ccm kuna vijana makini lakini hawa tumiki, mfano anthony mavunde yupo vizuri
 
Ukiona kijana yuko ccm ujuwe uzeeni atakuwa mchawi!
 
Wewe juzi kwenye thread yako inayohusiana na ardhi ya Mbeya haijatendewa haki kwa rutuba yake si ulikataa kwamba mama yako si mnyakyusa na kwamba baba yako alikuwa mkuu wa wilaya ya Tukuyu wakati hakuna wilaya hiyo mkoani Mbeya isipokuwa Tukuyu ipo wilayani Rungwe? Ulikuwa unaongopa au ulisahau kabila la mama yako?

- Tulipopata uhuru ilikuwa inaitwa Wilaya ya Tukuyu, pole sana hata history hujui!!
Le Mutuz
 
Uvccm ya sadifa hahahahahahahahaha,babu lazima awazamishe shimoni!!!!!!!!!!!!!
 
usije ukaumiza ubongo wako kwa ajili ya huyu mtu! mchumia tumbo anaweza sema lolote ili kuridhisha mazingira ya wakati ule.Ukiona comments zake za miaka mitatu iliyopita kuhusu hicho chama chake,usingemuuliza hilo swali.

- Miaka mitatu iliyopita nilianzisha Tawi la kwanza la CCM New York City/USA, kama kwa kufanya hivi nilikuwa nachumia tumbo then upo very right! ha! ha!

Ndiyo maana huwezi muelewa anasimamia nini,usishangae hata siku akiwa anampigia debe mamvi,anawabeza wazee wanaotaka serikali tatu wakati J Malecela ndio mmoja wa waasisi wa wazo hilo,kama anaweza beza kwa maneno ya kejeli wazo la babake nini kukataa kabila la mama?

- Unafikiri na mimi ni kama naongozwa na mawazo ya baba, pole sana mimi sio mtu wa namna hiyo I am free human being siongozwi na mawazo ya baba kama wewe!

Mkumbusheni pia wale rafiki zake anaowasifia kwenye blog yake na kuwaita superfriend,construction King na Mtanzania mwenye utajir wa ajabu huku site wanaambiwa ndio wenye mzigo wa Masogange!!Hili jamaa linawaaibisha sana wabeba box anavyoshobokea wanaume wenzie

- Kwanza unaingia sana kwenye my blog thank u, mengine ni rubbish! Sina tabia kama yako ya kuwachukia wanaokuzidi kimaisha, pole sana so unaamini wanaokuzidi kimaisha dawa ni kuja huku na kuwachafua majina yao ndio ushujaa? ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Wilaya Rungwe haipo sasa soma history kama haikuwepo huko nyuma, pole sana simply ni kwamba huna hoja!!

Le Mutuz

Tukuyu (German : Neu Langenburg) is a small, of 50,000 inhabitants, hillside town that lies about 36 miles (58 km) south of the city of Mbeya, at an elevation of around 5,000 ft (1,500 m) in the highland Rungwe District of southern Tanzania, East Africa. The local language is colloquial Nyakyusa together with the national language Swahili. Secondary and college education is done in the English language. The people are the Nyakyusa, although localised groups give themselves different local names.

In 1891 Lutheran and Moravian Christian missionaries started to work in this region, aiming to convert the local population to their faith.

"German administration at the north end of Lake Nyasa was established in January 1893, some eighteeen months after the arrival of the first German missionaries. The new administration arrived in the form of a party led by Hermann von Wissman, Imperial Commissioner and Commander-in-Chief, with orders to take possession of the territory in the south of German East Africa secured under the terms of the Anglo-German Agreement of 1890."

The town was originally founded in 1900 by the German Imperial regime as the colonial town of Neu Langenburg, named after the original Langenburg on the shores of Lake Nyassa which had to be given up due to rising sea levels. It was an important regional centre under the Germans and consequently there is an important Lutheran presence here, including a hospital. According to the 1920 Deutsches Koloniallexikon two of the ten shops were operated by Europeans and the police force, composed of "coloureds", was 66 men strong.

The town was administered by the British from 1919 until 1961, as Tukuyu in the British Empire's Tanganyika Territory. After 1919, when the Germans left, Scottish missionaries carried on the work of their German Catholic counterparts at the Kimbila and Itite Stations. The British established a large hospital in the town in the early 1920s, and built reliable roads and bridges. There was a small British military post some miles south at Masoko.
 
- Kwanza unaingia sana kwenye my blog thank u, mengine ni rubbish! Sina tabia kama yako ya kuwachukia wanaokuzidi kimaisha, pole sana so unaamini wanaokuzidi kimaisha dawa ni kuja huku na kuwachafua majina yao ndio ushujaa? ha1 ha!

Le Mutuz

Poor you! uwezo wako wa kuelewa mdogo sana!hakuna sehemu niliyoandika ufuate ya babako ila unabeza.
Mawazo mazuri ni hayo unayompa mwenyekiti wako Bulembo kwamba serikali tatu itaua ajira za waalim na manesi?
Hivi kwa nini unapenda kuwaambia watu wametumwa au mzee wewe upo kazini hapa? unadhani na sisi pia kama vip wewe mkaree my super friend
 
UVCCM ilishakufa siku nyingi sana kwani walipowadharau viongozi wa umoja wao na kuanza kutoa matamko rejareja (refer azimio la Bagamoyo) pia mtoto wa mkulu alipoifanya kama taasisi yake binafsi, vijana uliowataja wakashtuka wakakaa pembeni. Sasa kilichowaweka pembeni zaidi ni pale chama kilipoamua kuwatumia wale vijana wawili waliotemwa na CHADEMA na kuwaamini sana kuliko wanachama vijana waliokuwa UVCCM kwa muda wote na kuzunguka nao nchi nzima as if wana uchungu na chama kuliko wengine.

Kwa hayo na mengine mengi likiwepo la kuwekeza jengo la vijana makao makuu kwenye mkataba wa kifisadi tena bila kuwashirikisha wahusika ni sababu kubwa ya umoja huo kusinyaa.
 
Back
Top Bottom