balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,437
- 12,563
wamefeli kihalali na walikuwa wanafaulu kihalali,nilifanya kazi pale na ni founder wa Marian boys.Tatizo itakuwa ni nidhamu,nilimwambia father Bayo asikataze viboko akakataa.Pia kudharau walimu na kuongeza idadi ya wanafunzi vyaweza kuwa sababu.Haiwezekani zikakatwa makusudi kama wamefaulu kihalali, tatizo linakuja je hizi shule walikuwa wanafaulu kihalali toka mwanzo?, walikuwa hawalikishiwi maswali?