Kulikoni Marian Boys na Girls matokeo ya kidato cha sita

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
16,417
2,000
Kweli kabisa na baba yake alimkataa kweli dunia inajua kufundisha ......... ushuhuda wa mama yake mzazi alimzaa angali bado mwanafunzi , ila wazazi walimsamehe na kumwendeleza aliapa alikojikwaa hatarudia tena na ikabidi yeye na mwanaye mpk kieleweke Mungu ni mwema hakumwacha
Tupe historia kidg ya huyo bint
 

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,211
2,000
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Wa kwanza ni binti katoka Mazinde Juu.
 

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
9,110
2,000
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Inaonekana una hasira nyingi sana....
inayotokana na matabaka ya walionacho v wasionacho....
binadamu hatuwezi kulingana kama vidole vya mkononi... keep on struggle to change your class...
 

fredy nyiti

Member
Dec 28, 2015
31
125
ndo maana ukaitwa mtihani,hauwezi kila mwaka kuongoza wewe tu!
Kuna mkuu kasema FEZA hupewa mtihani mwezi mmoja kabla,siyo kweli mwanangu anasoma pale hilo jambo halipo kinachowabeba FEZA ni aina ya wanafunzi wanaowachukuwa pamoja na mazingira BORA ya shule.
interview ya form 5 wanafanya December kabla hata matokeo ya necta hayajatoka na December hiyo hiyo wanatoa selection pamoja na kumtaka mzazi alipe ada kabisa,wakati shule zinasubiri matokeo ya necta wao walishaanza masomo toka mwezi March!!!!
 

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,836
2,000
Wameshavuna pesa zenu kiasi cha kutosha.

In fact kuna mtazamo potofu kwamba hizo shule zina vipanga jambo ambalo sio la kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom