Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,226
- 4,730
Wazizime ili iweje?Hizi Marian boys wamekatwa makusudi. Kuna habari zinajitokeza kuwa kuna deliberate move ya kuzizima! Mungu nisaidie kama ni uvumi usio na ukweli!
Yani NECTA wazizime shule zilizofanya vizuri ili wao wafaudike nini?
Hivi hatujui kwamba watahiniwa wa mwaka huu na wa mwaka jana hata wa mwaka ujao ni watahiniwa tofauti wenye kiwango na uelewa tofauti?