Kulikoni Marian Boys na Girls matokeo ya kidato cha sita

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,661
2,000
Haiwezekani zikakatwa makusudi kama wamefaulu kihalali, tatizo linakuja je hizi shule walikuwa wanafaulu kihalali toka mwanzo?, walikuwa hawalikishiwi maswali?
wamefeli kihalali na walikuwa wanafaulu kihalali,nilifanya kazi pale na ni founder wa Marian boys.Tatizo itakuwa ni nidhamu,nilimwambia father Bayo asikataze viboko akakataa.Pia kudharau walimu na kuongeza idadi ya wanafunzi vyaweza kuwa sababu.
 
tchaot

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
263
500
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Tutatoka mmoja mmoja kwenye tabaka hilo, ingawa ni kaz sana toka Gairo hadi Cairo kwa miguu ila inawezekana
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,024
2,000
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
niliwahi shauri shule za private zipewe ruzuku ziweze kupunguza ada na watoto wa kawaida waweze kusoma. lakini pia kama mwanao hazimo Feza hawakupokei hatakama wewe ni mtoto wa Mo Dewj. Lakini hakuna mzazi anaweza garamika kama kichwani hazimo. Tatu, Feza huwa wanawapa scholarship watoto vipanga, kuna mtoto alikuwa Tambaza zilikuwa zinawaka sawasawa Feza boys walimfata mzazi wake ahamie pale akagoma pamoja na kumuahidi kusoma bure wakamtangazia dau na wakaahidi kumpeleka kusoma uturuki kwa gharama zao.
 
Mama Mzungu

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
204
500
Matokeo yametoka jana lakini siwaoni katika KUMI BORA kulikoni?.
Sijui nini kinaendelea huko. Nilibahatika kusoma Marian girls. usidanganywe aisee tulikuwa tunasoma, yaani majibu yakitoka utakuta wanafunzi 90, DIV 1 ni 87 wengine DIV 2. Watu walihisi tunapewa majibu ila uchawi ulikuwa ni kusoma, discipline na kusali.

Nahisi labda Father Bayo kazeeka sasa, hakuna usimamizi.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,537
2,000
Ukweli mchungu huu
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
 
Mama Mzungu

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
204
500
wamefeli kihalali na walikuwa wanafaulu kihalali,nilifanya kazi pale na ni founder wa Marian boys.Tatizo itakuwa ni nidhamu,nilimwambia father Bayo asikataze viboko akakataa.Pia kudharau walimu na kuongeza idadi ya wanafunzi vyaweza kuwa sababu.
Kabisa kabisa, Mimi nilisoma girls kitambo na tulifanya vizuri sana. Sasa hivi nidhamu hakuna, pia wanachukua wanafunzi wengi na ni tamaa tu ya pesa.
 
Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
772
1,000
niliwahi shauri shule za private zipewe ruzuku ziweze kupunguza ada na watoto wa kawaida waweze kusoma. lakini pia kama mwanao hazimo Feza hawakupokei hatakama wewe ni mtoto wa Mo Dewj. Lakini hakuna mzazi anaweza garamika kama kichwani hazimo. Tatu, Feza huwa wanawapa scholarship watoto vipanga, kuna mtoto alikuwa Tambaza zilikuwa zinawaka sawasawa Feza boys walimfata mzazi wake ahamie pale akagoma pamoja na kumuahidi kusoma bure wakamtangazia dau na wakaahidi kumpeleka kusoma uturuki kwa gharama zao.
mkuu badaye alikubali ??
 
Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
772
1,000
Sijui nini kinaendelea huko. Nilibahatika kusoma Marian girls. usidanganywe aisee tulikuwa tunasoma, yaani majibu yakitoka utakuta wanafunzi 90, DIV 1 ni 87 wengine DIV 2. Watu walihisi tunapewa majibu ila uchawi ulikuwa ni kusoma, discipline na kusali.

Nahisi labda Father Bayo kazeeka sasa, hakuna usimamizi.
father bayo ,,!kwa nn shule iliitwa marian??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom