Kulikoni Marian Boys na Girls matokeo ya kidato cha sita

Kama hawapo kumi bora, na kama hawapo kumi mwisho, basi wapo kumi kati, na kwa hiyo hawana hali mbaya
 
wamebaki na masanamu , wanayaambia masanamu yawaombee, chaa

Naona unarusha mawe na wakati huo huo umejificha kwenye nyumba ya vioo! Hayo masanamu yatawaandama milele! Maana kuna St Mary's Mazinde juu pale ya Lushoto!

Ikitokea siku shule kutokea huo upande wenu ikaingia 10 bora itabidi kama taifa tufanye sherehe. Maana yatakua ni maajabu ya dunia.
 
Kwani marian schools zizimwe ?

Mimi hayo madai naona hayana mantiki , walkua na wanafunzi wengi mwaka huu
Nina ushahidi wa hilo! Tuachie hapo. Wingi siyo hoja maana kila somo lina walimu 3! hivyo management ya watoto in terms of overload ya walimu haipo
 
Naona Shamsiye nayo imepotezwa mpaka nafasi ya 165. Form six haitabiriki.
 
Back
Top Bottom