Kulea wazee katika familia zetu

Kulea wazee katika familia zetu

Ujue hata sisi tunaowalea ni binadamu, kwa hyo wakilalamika hata kidogo kiasi fulani tunaweza kukwazika. Na kwa sababu inawezekana ninyi hamjadili na wasumbufu kuliko huyo bibi yenu basi mnaona ni msumbufu. Ila kwa uzoefu nilionao mimi, huyo bibi yenu ni super cool yaani. Kuku na hela za kutumia hapa na pale sio ishu sana.

kuku, vocha zake ziwe za jero jero, redio yake isikose betriii na tochi pia, lols, afu channel yake ni ya Bongo Flava tuuuuu.

She is really nice na naamini kabisa roho zake nzuri ndo imemuweka mpaka leo.

Ila usimpe siri. Zee la Nyeti hana siri hivooo. Lols. Atasema tu halafu zikikufikia anakuuliza nitafanyeje mkujuu wangu na mie ni mbea. lols.
 
Ninaamini wana jamvi wenzangu kwamba katika familia zenu basi mme bahatika kuwa na wazee yaani kuwa na watu waliozidi umri zaidi ya miaka 60
Umri wangu sasa ni miaka 60 na topic hii inanikumbusha kuwa saa 12 imefika - japo bado nina nguvu na sijisikii mzee kiasi hicho. Ila mimi kwa kweli hapo nitakapopungukiwa nguvu sitapenda kabisa niondolewe nyumbani kwangu ili nikalelewe kwa wanangu au ndugu wengine nikapeleke kero kama zisemwazo humu. Wakipenda kunisaidia watafanya wawezacho ili mradi nibaki kwangu.
 
Back
Top Bottom