Kulea wazee katika familia zetu

Kulea wazee katika familia zetu

ni kweli most ya wazee wakizeeka wanakuwa na ukorofi flan kwa kufeel wapo inferior,no one care about them..wanakuwa na viatabia flani flani

kikubwa ni kuwajali sana,,kuwaonyesha upendo wa khali ya juu,kuwashiriisha kwenye masuala ya familia na msikilize ushauri wao bila kuonesha dalili za konyesha kuwa anakuboa au anachoongea hakiwezekani kwa karne hii

i remember bib yetu alipenda sana tukae nae na atupe story za zaman na kutueleza mambo mengi ambayo pia yametujenga sana
sometime wanakuwa kama wtoto hasa kipind wakiumwa jaman

kikubwa hata kama wapo mbali jitahid kuwatembelea na wakae na kucheza na wajukuu huwa wanafurahi sana.
upendo kwao ni muhimu sana
my dearest umenena vyema sana lkn hebu soma bandiko langu #17 kisha unipe majibu.
 
Hizi mambo za wazee zinataka busara sana

Wazee hasa ambao wamezeeka sana huwa wana vi "usumbufu" fulani hivi ambavyo kwa wakati mwingine ni raha sana

Namkumbuka sana babu yangu mzaa mama ambae alikuwa ana kwake lakini alikuwa siku akitaka kwenda mahali atakwenda tu bila kujali uzee wake na ole wenu mumkatalie,kimsingi wazee wakifikia hatua fulani huwa kama watoto hivi na kama hujui hili unaweza kudhani wanasumbua

Hakuna namna ambayo inaweza kuwa inafaa kwa wazee wote kutokana na mazingira na tabia ambazo hutofautiana kutoka mmoja hadi mwingine cha muhimu ni nyie kuangalia namna ya kumhudumia bila kuwepo kwa kukwazana

Napenda sana kuishi na wazee kutokana na mambo yao na huwa kuna mafunzo sana kwa hawa wazee!
 
nimekuelwa sana da mkubwa, nafkiri unajua vyema kwamba bibi yangu mzaa mama yupo na ni mzee sana na kwa bahati mbaya sana yeye ana osteoporosis kiasi kwamba hadi mgongo umepinda lkn hatak kuskia tunasema tumchukue tukae nae manake anaona ananyimwa uhuru wake na kubwa analodai ni kwamba yeye hawez kuondoka akaacha kaburi la mumewe peke yake wala akaacha ng'ombe na mbuzi wake ambao kwasasa sidhan kama hao ng'ombe na mbuzi wana msaada sana manake ni gharama tu kubwa za utunzaji. tulichoamua ni kumuhudumia huko huko nyumban kwake ingawa hili linaleta ugomv sana kati ya yeye na mama yangu, mama anaona mama yake ni mkaidi huku bibi anaona mwanae anataka kumuhamisha kwenye mji wake. hii ni scenario ya kwanza.

scenario ya pili......... unajua wazi kwamba babu mkwe na bibi mkwe wetu kwa Kaizer wapo hai. mama mkwe wetu akaamua kuwachukua akae nao nyumban kwake ili awasaidie, sisi sote tuliafiki. sasa ishu inakuja babu ni mzee kuliko bibi ikabidi tukubaliane kutafuta msaidizi wa babu manake miaka 101 sio midogo. sasa bibi (88) anaona babu ana raha sana manake anamsaidizi na kuanza kulalamika mara ooh..........babu yenu anaraha sana yeye ana hadi mtu wa kumwogesha na kumfulia, mimi sijui lini nitapata. yeye bibi anaumwa sukari na presha sasa kwenye menu ukimpa chakula ambacho hakina chumvi kimechemshwa tuu anaanza kulalamika ""mwenzangu mie ana raha sana yeye kila kitu anakula lkn mimi yaani hata mayai tu nanyimwa kula"" yaani hapa huwa nakosaga hata la kusema manake linakera sana

kumbuka babu kazeeka hadi nguvu zimemwishia hawez kutembea yaani tunamtoa nje kuota jua na kumwingiza ndani yeye bibi bado kigori manake anatembea kwa miguu yake. lakin kila kukicha analalamika tuuu kwamba anakula vibaya yeye, anateseka yeye, ana tabu yeye hebu niambie kwa hizi scenario mbili unapata picha gani??

YAA i can feel ur sitution my dear ni pazito
Lest start with scenario one ya bibi upande wa mama akoambaye yupo kijijin na hataki kuhama cos ya kaburi la mumewe na mifugo yake
Wazee kuwahamisha makazi sio kazi rahis my dia hawakubali kiivyo kiurahisi ..yeye anawaza nakuona mifugo yake ni HAZINA kwake no matter inalipa or hailipi wao wanajivunia.wazee kijijini akiwa na shamba la kahawa,mahindi,mpunga,ndizi,mifugo anakuwana amani na anafurahi ambavyo sisi vijana kwa akili yetu hatuoni /hakuna sababuya bibi/babu kulima au kuwa na mifugo ya kazi gani???inalipa nini??kwanikumlisha tunashindwa?/ila kwao ni kinyume wanachukulia ile kama security na hazina yake ndicho wanaweza kujivunia…mimi nashauri mtafutie mfanyakazi na muelewa mtu mzima asaidiane na mama ako kumwangalia na kumsaidia kazi
Juu ya mama ako kulalamika na kuona mama ake ni mkaidi usilaumu kwa maana kuishi na wazee yataka moyo na uvumilivu wa khali ya juu…kumbuka bibi ni mgonjwa na hadi mgongo umepinda ni vema mkawa anawatembelea mara kwa mara ili mama ako asijione mpweke kwa usumbufu wa bibi….wajukuu wakifunga shule waende kule kukaa na kucheza itaongeza upendo kwa mama ako na kwa bibi…kalele na michezo ya watoto ina raha ndani ya nyumba.

Scenario no2 ya@kaizer bibi na babu
Mshukuru MUNGU kwa kupata mama mkwe mwenye uelewa mzuri na bado anawapenda wakwe zake .wazee wengi ni walalamishi jaman wanajua kublame than ever alichokatazwa kula kama ulivyosema yeye anaona like mnamnyima na inakuwa inatusumbua sana sisi wengine hasa mda wa kula yeye ale mchemsho ambao hauna chumvi na nyie ule msosi mzuri
Usikarike mpendwa nasi tutazeeka na hatujui huenda tukawa kero na ukarofi zaid ya wao..Muombe MUNGU akupe huruma ya roho Mtakatifu yakuweza kuwavumilia wazee.ni kweli wanakera lakini hatuna jinsi tuwavumilie tuu.UZEE HAZINA.na hatupendi laana jitahid kumvumila bibi nakumweleza kuwa akifuata masharti ya docta atapona na atakula vitamu kama mumewe.
 
nimekuelwa sana da mkubwa, nafkiri unajua vyema kwamba bibi yangu mzaa mama yupo na ni mzee sana na kwa bahati mbaya sana yeye ana osteoporosis kiasi kwamba hadi mgongo umepinda lkn hatak kuskia tunasema tumchukue tukae nae manake anaona ananyimwa uhuru wake na kubwa analodai ni kwamba yeye hawez kuondoka akaacha kaburi la mumewe peke yake wala akaacha ng'ombe na mbuzi wake ambao kwasasa sidhan kama hao ng'ombe na mbuzi wana msaada sana manake ni gharama tu kubwa za utunzaji. tulichoamua ni kumuhudumia huko huko nyumban kwake ingawa hili linaleta ugomv sana kati ya yeye na mama yangu, mama anaona mama yake ni mkaidi huku bibi anaona mwanae anataka kumuhamisha kwenye mji wake. hii ni scenario ya kwanza.

Scenario hii namna mlivyo i'handle nimependa.

Siye kama watoto, wajukuu tunapokuwa watu wazima, wengi huwa tukiona wazee tunajisahau kabisa na kuwachukulia wazee sana akili zao ni za kitoto na hali ni watu wazima wanaelewa fika kinachoendelea (thou reasoning huwa ya mashaka mara nyingi). Hapa napata na jibu lako la awali kabisa, tokana na maelezo yako; ni kheri kujadiliana na wao, ukiwahusisha ni vipi hasa wanataka washughulikiwe, (1) wenyewe na msaidizi ama (2) kuwale moja kwa moja.

scenario ya pili......... unajua wazi kwamba babu mkwe na bibi mkwe wetu kwa Kaizer wapo hai. mama mkwe wetu akaamua kuwachukua akae nao nyumban kwake ili awasaidie, sisi sote tuliafiki. sasa ishu inakuja babu ni mzee kuliko bibi ikabidi tukubaliane kutafuta msaidizi wa babu manake miaka 101 sio midogo. sasa bibi (88) anaona babu ana raha sana manake anamsaidizi na kuanza kulalamika mara ooh..........babu yenu anaraha sana yeye ana hadi mtu wa kumwogesha na kumfulia, mimi sijui lini nitapata. yeye bibi anaumwa sukari na presha sasa kwenye menu ukimpa chakula ambacho hakina chumvi kimechemshwa tuu anaanza kulalamika ""mwenzangu mie ana raha sana yeye kila kitu anakula lkn mimi yaani hata mayai tu nanyimwa kula"" yaani hapa huwa nakosaga hata la kusema manake linakera sana

Hii nimecheka kweli kweli! Lol

Kama namuona vile bibi yetu huyu. Hii inatuonyesha hulka ya bibi toka huko nyuma, na pia inatupa picha in a way bibi anaona kama vile babu siku zote hupata/hupenda vitu bora zaidi yake na huvipata. Sidhani kama hali hii ndiyo iliyo sababisha yeye kulalamika, itakua ni muendelezo tu (thou I may be wrong).

Njia rahisi inakuwa na yeye kufanyiwa hivyo, ila tu kulea si kazi ndogo, inahitaji pesa, muda na Upendo. Ukiwa na muda na upendo ni tosha kabisa hata kama pesa haipo. Itabidi tu kuendelea kumsikiliza na kumpoza hapa na pale kama si serious sana hayo malalamiko.
 
Aiseeee .......

Najiona kama naisoma ile JF ileeeee
Dadadeki ....!!

Naendelea kukukubusha vile ambavyo ulishaniambia hivi halafu unaonekana baada ya miezi mi 4!

Mdogo wangu mpendwa... I am humbled. Nafurahi sana kukuona na usijaliii... Mie na wewe hatuwezi kushindwana lol
 
Kulea wazee yahitaji uvumilivu sana,kikubwa ni kuwa nao karibu tu na kuwaonyesha upendo. Kwa wale walio mbali na

hawahitaji kuhama tunaweza kuwawekea watumishi wa kazi ambao tutawalipa na kujitahidi mara kwa mara kwenda

kuwaona,Pia tujitahidi kuwa na mawasiliano mazuri nao hasa ya kimazungumzo wakati mwingine huwa wakali

sana,tujitahidi kuwaelewa nini wanapenda na nini hawapendi maadam havileti madhara tuwapatie tu. Kwa vyenye

madhara ni kuendelea kuwaelewesha kwa upole huku tukitafuta mbadala.
 
Hizi mambo za wazee zinataka busara sana

Wazee hasa ambao wamezeeka sana huwa wana vi "usumbufu" fulani hivi ambavyo kwa wakati mwingine ni raha sana

Namkumbuka sana babu yangu mzaa mama ambae alikuwa ana kwake lakini alikuwa siku akitaka kwenda mahali atakwenda tu bila kujali uzee wake na ole wenu mumkatalie,kimsingi wazee wakifikia hatua fulani huwa kama watoto hivi na kama hujui hili unaweza kudhani wanasumbua

Hakuna namna ambayo inaweza kuwa inafaa kwa wazee wote kutokana na mazingira na tabia ambazo hutofautiana kutoka mmoja hadi mwingine cha muhimu ni nyie kuangalia namna ya kumhudumia bila kuwepo kwa kukwazana

Napenda sana kuishi na wazee kutokana na mambo yao na huwa kuna mafunzo sana kwa hawa wazee!
Eiyer naona kama vile unaongelea wazee wenye nguvu zao,

hebu niambie unawezaje kuepuka kumkwaza mzee ambaye yuko above 80??
 
Last edited by a moderator:
YAA i can feel ur sitution my dear ni pazito
Lest start with scenario one ya bibi upande wa mama akoambaye yupo kijijin na hataki kuhama cos ya kaburi la mumewe na mifugo yake
Wazee kuwahamisha makazi sio kazi rahis my dia hawakubali kiivyo kiurahisi ..yeye anawaza nakuona mifugo yake ni HAZINA kwake no matter inalipa or hailipi wao wanajivunia.wazee kijijini akiwa na shamba la kahawa,mahindi,mpunga,ndizi,mifugo anakuwana amani na anafurahi ambavyo sisi vijana kwa akili yetu hatuoni /hakuna sababuya bibi/babu kulima au kuwa na mifugo ya kazi gani???inalipa nini??kwanikumlisha tunashindwa?/ila kwao ni kinyume wanachukulia ile kama security na hazina yake ndicho wanaweza kujivunia…mimi nashauri mtafutie mfanyakazi na muelewa mtu mzima asaidiane na mama ako kumwangalia na kumsaidia kazi
Juu ya mama ako kulalamika na kuona mama ake ni mkaidi usilaumu kwa maana kuishi na wazee yataka moyo na uvumilivu wa khali ya juu…kumbuka bibi ni mgonjwa na hadi mgongo umepinda ni vema mkawa anawatembelea mara kwa mara ili mama ako asijione mpweke kwa usumbufu wa bibi….wajukuu wakifunga shule waende kule kukaa na kucheza itaongeza upendo kwa mama ako na kwa bibi…kalele na michezo ya watoto ina raha ndani ya nyumba.

Scenario no2 ya@kaizer bibi na babu
Mshukuru MUNGU kwa kupata mama mkwe mwenye uelewa mzuri na bado anawapenda wakwe zake .wazee wengi ni walalamishi jaman wanajua kublame than ever alichokatazwa kula kama ulivyosema yeye anaona like mnamnyima na inakuwa inatusumbua sana sisi wengine hasa mda wa kula yeye ale mchemsho ambao hauna chumvi na nyie ule msosi mzuri
Usikarike mpendwa nasi tutazeeka na hatujui huenda tukawa kero na ukarofi zaid ya wao..Muombe MUNGU akupe huruma ya roho Mtakatifu yakuweza kuwavumilia wazee.ni kweli wanakera lakini hatuna jinsi tuwavumilie tuu.UZEE HAZINA.na hatupendi laana jitahid kumvumila bibi nakumweleza kuwa akifuata masharti ya docta atapona na atakula vitamu kama mumewe.

my dearest......wewe hapa umeongelea kitu ambacho ni kigumu kidogo lkn nina swali nata kukuuliza.........
najua wajua kwamba laana zinapatiliza............sasa je iwapo mmoja kati ya waazee ambao unao ukakuta ni mhanga yaani anapatilizwa na laana fulan kias kwamba unaona kabisa mateso ayapatayo ni kwasababu ya laana hii utachukua jukumu gani?? mind you wewe nisehem ya kizazi chake hivyo itakupatiliza pia usipokuwa mwangalifu.
 
ni kuwalea kama umleavyo mtoto mdogo kwa upendo na kumjali lakini pia uvumilivu aiseeeeeeee

hivi kweli umewah jiuliza kwann wazee hu act jins wanavyo act??
 
Mama Mkwe ana umri wa miaka70 , Baba Mkwe ana 78 na Bibi mzaa mama ana 92. Wanaishi pekee yao na mdada wa kazi.

Mama anafanya kazi zake kama kupika na kufua. Tena kufua ndo usiseme kabisaaaa hafuliwi nguo zake na yeyote.

Tunachokifanya ni kumsaidia tu wadada wa kazi pamoja na ku provide mahitaji yao yote.

Am old fashioned in matters of taking care of the aged na when my Dad is old am gonna take care of him by myself.
 
Mi nahisi ni maumivu ya uzeeni, presha etc etc.

My grandma used to be so sweet, alipoanza kuumwa presha acha tu.
 
Scenario hii namna mlivyo i'handle nimependa.

Siye kama watoto, wajukuu tunapokuwa watu wazima, wengi huwa tukiona wazee tunajisahau kabisa na kuwachukulia wazee sana akili zao ni za kitoto na hali ni watu wazima wanaelewa fika kinachoendelea (thou reasoning huwa ya mashaka mara nyingi). Hapa napata na jibu lako la awali kabisa, tokana na maelezo yako; ni kheri kujadiliana na wao, ukiwahusisha ni vipi hasa wanataka washughulikiwe, (1) wenyewe na msaidizi ama (2) kuwale moja kwa moja.

Hii nimecheka kweli kweli! Lol

Kama namuona vile bibi yetu huyu. Hii inatuonyesha hulka ya bibi toka huko nyuma, na pia inatupa picha in a way bibi anaona kama vile babu siku zote hupata/hupenda vitu bora zaidi yake na huvipata. Sidhani kama hali hii ndiyo iliyo sababisha yeye kulalamika, itakua ni muendelezo tu (thou I may be wrong).

Njia rahisi inakuwa na yeye kufanyiwa hivyo, ila tu kulea si kazi ndogo, inahitaji pesa, muda na Upendo. Ukiwa na muda na upendo ni tosha kabisa hata kama pesa haipo. Itabidi tu kuendelea kumsikiliza na kumpoza hapa na pale kama si serious sana hayo malalamiko.

my dearest.............nafikir kuna jambo silielewi katika hii dunia.labda leo waweza nifumbua macho, hivi inawezekana wewe kumwogesha babu yake Kaizer?? je ule mwiko wa mkwe unaufanyaje hapo??

nafkiri upendo ndio jambo la msingi sana katika kuwalea wazee lkn unadhan utawezaje kuchukulia poa manung'uniko ya mzee ambaye hata anacholalamika hakina mantiki?? hivi unatakiwa ku assume nini ili wewe uweze kuachilia moyo wako kwa huyu mzee??
 
Last edited by a moderator:
Mama Mkwe ana umri wa miaka70 , Baba Mkwe ana 78 na Bibi mzaa mama ana 92. Wanaishi pekee yao na mdada wa kazi.

Mama anafanya kazi zake kama kupika na kufua. Tena kufua ndo usiseme kabisaaaa hafuliwi nguo zake na yeyote.

Tunachokifanya ni kumsaidia tu wadada wa kazi pamoja na ku provide mahitaji yao yote.

Am old fashioned in matters of taking care of the aged na when my Dad is old am gonna take care of him by myself.
Karucee mimi pia huwa sikomplecate maisha kwenye kuwalea wazee, but mimi napata shida moja tuu nayo ni sipendi mtu anayenung'unika nung'unika kila saa na ukweli hata wanangu wanajua hilo sasa unakuja kukutana na mzee ambaye ulalamish ni sehem ya maisha yake how do you handle??
 
Last edited by a moderator:
Mi nahisi ni maumivu ya uzeeni, presha etc etc.

My grandma used to be so sweet, alipoanza kuumwa presha acha tu.
ni kweli ugonjwa unachangia lkn hivi kweli ina maana huwa hawaoni kwamba wanakera??

unajua my dear ili mtu akuihudumie kwa upendo unapaswa na wewe uwe sehem ya hiyo huduma like uwe na moyo safi wa shukran na upendo na kuridhika sasa wewe kama haya yote huna na anayejitahd kukuonyesha upendo na ukarimu anafanya tena zaid unafkiri atajiskiaje??
 
my dearest.............nafikir kuna jambo silielewi katika hii dunia.labda leo waweza nifumbua macho, hivi inawezekana wewe kumwogesha babu yake Kaizer?? je ule mwiko wa mkwe unaufanyaje hapo??

nafkiri upendo ndio jambo la msingi sana katika kuwalea wazee lkn unadhan utawezaje kuchukulia poa manung'uniko ya mzee ambaye hata anacholalamika hakina mantiki?? hivi unatakiwa ku assume nini ili wewe uweze kuachilia moyo wako kwa huyu mzee??

Swwtlo ninavojua wazee wakishazeeka sana wanakuwa kama watoto...muhimu fanya kikupasach kwa mujibu wa mila.na desturi mahalia

Halafu nyie wake zangu haiwapasi leo tulale wote kweli?
 
Last edited by a moderator:
Swwtlo ninavojua wazee wakishazeeka sana wanakuwa kama watoto...muhimu fanya kikupasach kwa mujibu wa mila.na desturi mahalia

Halafu nyie wake zangu haiwapasi leo tulale wote kweli?
mume wetu usjali twaja kukubembeleza...........
lkn ngoja kwanza leo bibi yako haeleweki kabisa na tumevumilia hadi kufika mwisho.........
 
Back
Top Bottom