Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

sijui kama utaweza kubofya zile keyboards za kijani na manjano

hahahaaa, kumbe jamaa wanatumia mpaka keyboards za njano na kijani? Mi nkiona hizo rangi napata shida.
 
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.

pole sana..sio kila jukwaa la kuingia mkuu..
 
mama mimba changa zina tabu kweli ujifungue salama

Hahahahahahahhah naona jamaa anakufatafata mkuu kulikoni, halafu huyu jamaa kwenye jukwaa la siasa ndo mmoja wa wavurugaji wa halo ya hewa.
 
Back
Top Bottom