Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

kidonto

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
2,322
Reaction score
3,604
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.
 
Hahahahaha umewahi kucheza, DJ kaweka CD na ukaishiwa style
 
karibu mapenzini...

halafu mbona unaonekana mtoto mapenzi umeyajulia wapi!!!??

ev.jpg
 
Kule ni hatariiii, jukwaa jingine ambalo sitii maguu ni lile la kina Nguruvi
 
Jukwaa la siasa lahitaji uvumilivu kama ilivyo siasa yenyewe!

Kuna majukwaa mengine pia hayaingiliki kama la international, dini na celebreties.

International limevamiwa na watu wa dini kila utachoandika kinapindishwa na kuwa na mlengo wa dini mwisho wake kashfa na matusi ya kidini huanzia hapo.

Celebrities bana kumekaa kiumbea umbea kiasi mtu anasemwa hovyo then unakuta huyo mtu ni nduguyo au rafikiyo unamjua vizuri lakini yanyozungumzwa ni uongo uliopitiliza na watu wanashadadia kwelikweli na unakuta yanayozungumzwa ni tetesi! Waambie walete evidence uone unavyovamiwa na michambo ya haja!! Ban nje nje

Jukwaa la dini si jukwaa la kujifunza tena, ukiingia kule ukitoka kichwa kinauma!! Ukitaka ban ingia jukwaa la dini haipiti hata sekunde unakula kama tano hivi...!! Tatizo ni kukashfiana na kutukanana, multiple ID zimejaa kule! Mtu anapigwa ban anaingia na ingine anasongesha mashambulizi hahaaaa!

Ukipita majukwaa hayo kama una hasira za karibu soma na ujondokee kimyakimya
 
Hongera kwa kulitambua hilo maana unaweza kufa kwa presha bure tukakukosa
 
Yani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu... Bora huku ni story na watoto wazuri... Yani jukwaa la siasa mi sirudi tena, tena na tena na tena.

There’s no way of avoiding difficult people.We work with them,we live with them,and we are related to them.- Because there is always conflict when we encounter difficult people,we might as well learn how to deal with them.Be smart never run
 
Back
Top Bottom