Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.

Unajuwa, mtu kupenda jukwaa fulani inategemea tu wewe unapenda nini...

Hivi unadhani akina NEWTON kama wangekuwepo leo wangekuwa wanashinda wapi kama si jukwaa la teknolojia..???

We sema unapenda MAPENZI na yanayoongelewa huku kwa ujumla. Si kwamba umekuja huku kwa sababu ya jukwa la siasa... Umeamua bana.. mbona hujaenda kwenye jukwaa la mapishi..
 
What you say is true broo... But waswahili wamenifundisha (heri nusu shali......)
 
tUnajuwa, mtu kupenda jukwaa fulani inategemea tu wewe unapenda nini...

Hivi unadhani akina NEWTON kama wangekuwepo leo wangekuwa wanashinda wapi kama si jukwaa la teknolojia..???

We sema unapenda MAPENZI HAHAHAAAA! HUKU KUNA USTAARABU
 
lile jukwaa niliona halina maana baada ya kugundua wanaume wanasifia wanaume wenzao...hovyoooo....
 
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.

Hhahhhhahahaha kule utachezea ban kweli kama roho yako ndogo maana wenzio wanalipwa kwa kila comment kule.
 
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.

Ndo uache shobo
 
hhahhhhahahaha kule utachezea ban kweli kama roho yako ndogo maana wenzio wanalipwa kwa kila comment kule.

oh! Kumbe wanalipwa? Ndo maana nasikia buku 7 from lumumba!
 
Jukwaa la siasa lahitaji uvumilivu kama ilivyo siasa yenyewe!

Kuna majukwaa mengine pia hayaingiliki kama la international, dini na celebreties.

International limevamiwa na watu wa dini kila utachoandika kinapindishwa na kuwa na mlengo wa dini mwisho wake kashfa na matusi ya kidini huanzia hapo.

Celebrities bana kumekaa kiumbea umbea kiasi mtu anasemwa hovyo then unakuta huyo mtu ni nduguyo au rafikiyo unamjua vizuri lakini yanyozungumzwa ni uongo uliopitiliza na watu wanashadadia kwelikweli na unakuta yanayozungumzwa ni tetesi! Waambie walete evidence uone unavyovamiwa na michambo ya haja!! Ban nje nje

Jukwaa la dini si jukwaa la kujifunza tena, ukiingia kule ukitoka kichwa kinauma!! Ukitaka ban ingia jukwaa la dini haipiti hata sekunde unakula kama tano hivi...!! Tatizo ni kukashfiana na kutukanana, multiple ID zimejaa kule! Mtu anapigwa ban anaingia na ingine anasongesha mashambulizi hahaaaa!

Ukipita majukwaa hayo kama una hasira za karibu soma na ujondokee kimyakimya

Kwenye jukwaa la dini umesema kweli mkuu, mimi mwenyewe ni muhanga wa ban kwa sababu ya hilo jukwaaa...

Ila siasa kuna pumba sana kule, ukilijulia unaishi kwa amani sana
 
Piga kambi popote...play safe though...
 
Unajuwa, mtu kupenda jukwaa fulani inategemea tu wewe unapenda nini...

Hivi unadhani akina NEWTON kama wangekuwepo leo wangekuwa wanashinda wapi kama si jukwaa la teknolojia..???

We sema unapenda MAPENZI na yanayoongelewa huku kwa ujumla. Si kwamba umekuja huku kwa sababu ya jukwa la siasa... Umeamua bana.. mbona hujaenda kwenye jukwaa la mapishi..

Mbona umesema yote na kumaliza...?
 
Back
Top Bottom