illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
njoo mwaya huku ktk ulimwengu wa maraha...yaliyoanza tangu enzi za Adamu na Hawa
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.
Bora huku ni story na watoto wazuri.
Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.