Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

we pita majukwaa yote tu somaa kama halikuhusu usichangie
 
Yaani bora niwe huku, nimeona kule ntachezea burn, huchelewi kupandwa hasira na kuanza kutukana watu kisa babu zao walifia enzi ya tanu.

Bora huku ni story na watoto wazuri.

Yaani jukwaa la siasa mimi sirudi tena.

Una urafiki na Bhanunu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom