asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,756
Acheni ubahili kama hamna hela si mle kwa macho tu.Aaah wap, acheni tabia mbaya hizo, baba hapendi
Acheni ubahili kama hamna hela si mle kwa macho tu.Aaah wap, acheni tabia mbaya hizo, baba hapendi
funguka vizuri ni rafiki tu au mnafanya kazi pamoja au ni vipi? kama mnafahamiana tu hapo tatizo kama mko ofisi moja si tatizo na amekuomba au anakukopa? na kama ulimtongoza wakati unamtongoza hukujua kuwa mke wa mtu na je angekupa papuchi ungewaza kama mke wa mtu?Mm kuna demu mmoja kaniomba mtaji wa milioni nne harafu mke wa mtu sijui kanichukuliaje shenzi zake
Mh! aiseeHadi uombwe hela haraka hivyo na wewe utakuwa umetoa viashiria flani flani vya kupigwa mzinga.
Wengine kama sisi ukituangalia tu usoni lazima ujistukie kwa jinsi ambavyo hatupigiki mizinga kirahisi rahisi!
Rudia tenaKwanza kumtongoza mtu unajua nikumkosea adabu kama nia yako moyoni unajua ni kwa ajili ya kumgegeda tu? na nijuavyo mimi mwanamke akikuomba hela bila ya haya jua hajakupenda na wala hakutaki na hata kama utamgegeda ujue kakupa sabab ya hivyo vihela vyako sio kwamba anakupenda, mwanamke kama huyo usimpompa hela sahau, humpati.
Mkumtafuna nimeshamtafuna na pesa sikumpafunguka vizuri ni rafiki tu au mnafanya kazi pamoja au ni vipi? kama mnafahamiana tu hapo tatizo kama mko ofisi moja si tatizo na amekuomba au anakukopa? na kama ulimtongoza wakati unamtongoza hukujua kuwa mke wa mtu na je angekupa papuchi ungewaza kama mke wa mtu?
ndo hapo kila siku mtu kibamia kibamia,ina maana kila siku ye hupata vibamia tu.bora hiyo bwawa angefuga kambale tu.Papuchi yako kila mwanamme anaelea so unataka figure out tatizo ni nn?
NA Virusi kishakupa.Mkumtafuna nimeshamtafuna na pesa sikumpa