Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Badili namna yako ya ulalaji kwa kuepusha kuikunja shingo.

Kama ni mtumiaji wa mto, tumia mto laini.

Punguza kufanya kazi ngumu sana zenye kuchosha.

Kama ni mtumiaji mzuri wa pombe. Punguza kiwango, ikiwezekana acha kabisa!
 
Dawa ya kuacha kukoloma ni ipi jamani
HILO NI TATIZO LAMFUMO WA UPUMUAJI. NENDA KCMC au MUHIMBILI au BENJAMINI MKAPA HOSPITAL, DODOMA. Utafanyiwa minor surgery katika mfumo wa upumuaji. Nenda haraka, usiogope. Ni upasuaji mdogo sana kupitia mdomoni. Utapona kabisa hiyo hali.

Mimi nilikaa na mtoto wangu miaka sita nikiwa nakwepa kwenda, kumbe ni upasuaji mdogo sana tu. Kijana amepona kabisa na hakoromi tena.
 
Kukoroma Ni mhim hasa kwa Mwanaume hata vibaka wakija usku wanajua Kuna dume ndani
 
Kukoroma Ni mhim hasa kwa Mwanaume hata vibaka wakija usku wanajua Kuna dume ndani
Ndo wanakunyonga kabisa maana wanajua umezima. Lakini pia huwezi kwenda kulala nyumba ndogo ukiwa na tatizo la kukoroma.
Jamani hii suala lakukoroma,ni janga la taifa aiseee!! Yaani hata huwezi kua na amani kabisa! Unaunguruma kama Generator!
Ni tatizo lakini linatibika. Kama kuna mtu anasumbuliwa na hilo tatizo aende Benjamin Mkapa kitengo cha Pua, Masikio na Macho. Kuna Madaktari bingwa wa eneo hilo.
 
Hadi hua naogopa kulala nyumba ndogo aiseeee
Nenda fasta Benjamin Mkapa. Hilo tatizo linaisha kabisa. Kijana wangu alisumbuka miaka 5. Baada ya kufanyia minor surgery mwaka juzi amepona kabisa. kama una bima itatumika. Kama hamna I hope hata laki mbili hutamaliza maana gharama kubwa itakuwa hapo kwenye surgery ndogo tu. Kwengine dawa za kawaida za antibitic.
 
Details/nondo

xZX.JPG

Kutoka na inflamation au kulegea kwa misuli ya ulimi au soft palate hupelekea njia ya hewa kuwa ndogo nakusababisha mtetemo soft palate na hapo sauti huzalishwa. Kama tunavyojua sauti ni zao na mtetemo watu wa physics mnaelewa.
Sababu yakulegea kwa misuli huweza kusababishwa na pombe, uchovu kupita kiasi, au kujaa kwa majimaji mucus kati ya sehemu hizo tajwa hapo juu.
Jibu
  1. Surgery: binafsi mimi sio mfuasi wa operation maana kama Mungu angekusudia surgery basi kwenye mwili wetu tusingekosa zipu.
  2. Kuacha unywaji pombe
  3. Tiba asili kama ilivyo kwa matibabu ya kilimi.
  4. Full body cleansing
  5. Ulaji bora wa organic foods ( True healing )
  6. Pia kipo kifaa unavaa na hautoi sauti hiyo link click
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom