Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Wasiokunywa pombe wanakosa mengi, pombe ina raha....
Jack daniel + amarula
zanzi + konyagi is equal to fire kwa bed


Hiyo kwa lugha ya bed 🏨 tunaita boost. Sasa kwanini mpaka uboost?
 
Ukitaka kupata marafiki na watu wenye nafac mbali mbali nenda bar, majibu ya matatizo yako utayapata.

Huko utakutana na
~waziri
~afisa mifugo
~mwalimu
~madaktari ndo wakumwaga
~wanasheria
~boc wako
~engineers
~DC, RC, RCO, DEO
na wengine kibao, kila dili litatiki tu, ila subiri nyumbani kama hutakuwa mtu wakutoa rushwa mpaka ufilisike

Na hili ndilo neno la mungu.

We binadamu una busara, mfalme Suleman kasingiziwa.
 
Afadhali unajua nilikuwa nasoma post za nyuma nikabaki nawashangaa wachangiaji karibu wote wanajisifu kwa kutokunywa pombe wakati wanajua bila sisi kunywa pombe serekali ingekosa mapato mengi sana sijui mishahara ya Polisi,JWTZ..... nani atailipa kama siyo sisi wanywaji ?.Pombe mbaya ni ile inayosababisha maisha mabovu nyumbani,watoto wanapelekwa St Kayumba,haki ya ndoa inakuwasuasua.....Lakini kama nyumbani Mama akifungua fridge anakutana na kilo za nyama ya Ng'ombe za kutosha,kiti moto cha kutosha samaki kede kede,kuku,firigisi,maini,figo..... shida iko wapi.


Pombe ndio mpango mzima asikudanganye mtu.

Mimi sitaacha pombe,maana haijawahi kunikosea.Mimi hunywa ijumaa jioni na jumamosi tu.

Jumapili hupumzika na familia baada ya kutoka kanisani. Ninywapo hujisikia raha sana. Sigombani,situkani. Bali huchekesha sana wenzangu.

Maendeleo nyumbani naleta.nasomesha watoto vizuri,kazini najituma,hata kitandani pia.

Kwa kweli nikiacha pombe,nahisi maisha yangu yatabadilika sana.Nitakuwa na stress za kufa mtu.

Sasa hivi yenyewe nimetoka kunywa Shots za Jack Daniels...Pombe sikuachi labda uniache wewe mpenzi.Amina

Namna hiyo. Mwanaume utakunywaje maziwa kama mtoto. Kunywa pombe upate akili. Deals nyingi zinapatikana kwenye pombe.

Sio unakaa home unanyang'anyana remote control ya TV na watoto.
 
Hivi ni kwa nini mwezi huu wa Ramadhani biashara za pombe, kitimoto na guest house zinakosa wateja?

Nachukizwa sana na unafki wa Watanzania.

Videmu hivihivi vinavyojishauwa humu ukivitoa out vinaanza kubana puwa nakunywa Savanna, sasa mnadhani ile Savanna ni Juice?

Hovyoooo, Asprin tukutane Calabash punde tupate masupu mitori na tutowe na roki kabisa.

Wewe ndo mwanaume wa kiumeni.

Hivi vishori vinajifanya eti havipendi wapiga ulabu wakati vinashobokea hela.

Mwanaume asiyepiga ulabu ni bahili aliyeshindikana. Huyu kaona bweg.e mmoja kalewa gongo huko anarusha kombora kwa sisi tunaoendesha taifa. Kumbe hata asipokunywa hizo ndo zake.

Swahiba naenda arusini lakini ntapitia hapo calabash nipate japo mkia niweke base ya bia.

Yesu mwenyewe alipiga ulabu, sisi ni nani tuiache hii kitu murua?
 
Last edited by a moderator:
Lakini mchango wa walevi kwenye pato la taifa ni mkubwa jamani!
 
Pombe ni chanzo cha mvurugano katika ndoa, pombe ni chanzo matatizo katika ndoa
 
Asiyejuwa maana haambiwi maana wacha waishi kwa kukariri tu, waelewa tutaendelea kuenziwa kwa mahaba mazito na tunasimamia show vile ipasavyo.

Tuna mouth wash za kuondoa harufu midomoni sidhani kama namkera wifi yako na uzuri akipita super market huwa hasahau kuninunulia hii colabo ya Jack Daniel's na Amarura.

Janaume zima saa kumi na mbili kila siku liko nyumbani kama si uzezeta ni nini?

Yakifukuzwa kazi huwa yanatia huruma na kujiingiza kwenye ulokolre kwa sababu hayana connection ni anti social.

Wanaume tuna vikao vyetu vya kupeana michongo na kushauriana.

Jitu zima unakuta liko sebuleni linagombea rimoti control na watoto. Jitu zima linataka kuangalia bongo movie wakati watoto wanataka kuangalia katuni.

Ndio maana warembo wote huolewa na wanywaji.
 
ok labda unisaidie kuelewa...so watu wasiokunywa kabisa(ambao mwenyewe umekiri kuwa wapo),walizaliwa na kulelewa katika mazingira mazuri zen wakaja kuwaoa mama zao??...na nani aliyekwambia kuwa watu wanaokunywa hawajalelewa kwenye mazingira mazuri??

Duuuuhhh nimegundua hujanielewa, haya ni yako
 
Nalileta hili ili wanaume mjitathimini.

Nilikuwa sehemu fulani kijijini mkoa wa pwani, wakati narudi jioni hii njiani alipanda baba mmoja alikuwa kanywa pombe ila siamini kama kalewa, ambae kwa maelezo yake anakaa sinza, wakati tumeenda umbali mrefu karibu masaa mawili ghafla simu yake ikaita, akapokea ile simu neno aliloanza nalo ni "kwa nini muda wote hujanitafuta?? unanitafuta saa hizi wakati jua linaaga, mngese .............. sana wewe mwanamke, nimekuwekea charge hadi kwenye.........................(papuchi) yaani yakamtoka matusi yote then akakata sim, yaani gari zima turiboreka hakuna hata aliyemsemesha, kaona hiyo haitoshi kaanza kumsema mkewe madhaifu yake yote ndani ya gari, yaani anatoa maneno mazito mazito, kwa kweli wanawake wote tulinywea kama tumemwagiwa maji, baada ya hapo dada mmoja aakamwambia baba kwanini unashindwa kumsitiri mwanamke unaeishi nae??????? ndio kama aliwasha moto, mzee akasema yoteeeee yaliyomo na yasiyokuwemo loh!!, jamani mzee alizaliwa 1942 lakini, maneno aliyokuwa anatukana mmmh!!!!!!!! kweli nikaamini mwanaume mlevi ni mzigo, haraka nikamtathimini nikagundua:


  • kwanza ni mwanaume mchafu mchafu hadi basi.
  • Ni aina ya wanaume wanyanyasaji ambao anaweza kumsimanga mwanamke hata kwa chakula.
  • wababa wa aina hii ndio chanzo cha wanaume kuwa wa sasa kurithi unyanyasaji.

Stress hizo baba baba baba baba huyooooooooooo nimekumbuka kawimbo
 
Back
Top Bottom