Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Umetugusa walevi...... Mtu akikutukana kwa kisingizio cha kulewa ni uongo, pombe haiwezi kukufanya uwe na matusi wakat hulka yako haikuwa ya kutukana,

pombe huendeleza kile ulichokuwa nacho,,,,
miss chagga naomba uje uthibitishe hapa
 
Last edited by a moderator:
Akili ndogo zimesheheni kwenye hii thread, uchumi wa Taifa unaendeshwa na walevi halafu mwasemaje?

Reginald Mengi anakunywa pombe, nionesheni mwanamke gani humu atamkataa? Tuache unafki.

Mkapa anakunywa pombe, Kikwete anakunywa pombe, Lowasa anakunywa pombe, Magufuri licha ya kunywa amenogea mpaka ameadopt na jina kabisa pombe,

Nitarudi nawahi somewhere kidogo.
 
Unamuita Mrembo anakuwa pembeni yako

Ndo ulevi wako sasa, ambao ni mbaya kuliko pombe. Huko kuna vimimba visivyotarajiwa, kutoa mimba, Ngoma, na mambo mengne

Acha hzo
 
Akili ndogo zimesheheni kwenye hii thread, uchumi wa Taifa unaendeshwa na walevi halafu mwasemaje?

Reginald Mengi anakunywa pombe, nionesheni mwanamke gani humu atamkataa? Tuache unafki.

Mkapa anakunywa pombe, Kikwete anakunywa pombe, Lowasa anakunywa pombe, Magufuri licha ya kunywa amenogea mpaka ameadopt na jina kabisa pombe,

Nitarudi nawahi somewhere kidogo.

Wanafiki tu. Kwanza Huyo mnywaji anayetukana watu ni hulka yake tu. Kwenye bar nyingi za heshima kuna Watu wengi sana wastaarabu na mnaweza kukutana kwa Mara ya kwanza na mkapiga story kama mnafahamiana na sijawahi kuona hayo matusi.

Hao wanaojifanya malaika wengi wao ni worse kuliko shetani mdogo.
 
Don't play with power of fake ID's

Hivi ni kwa nini mwezi huu wa Ramadhani biashara za pombe, kitimoto na guest house zinakosa wateja?

Nachukizwa sana na unafki wa Watanzania.

Videmu hivihivi vinavyojishauwa humu ukivitoa out vinaanza kubana puwa nakunywa Savanna, sasa mnadhani ile Savanna ni Juice?

Hovyoooo, Asprin tukutane Calabash punde tupate masupu mitori na tutowe na roki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni janga, ukinywa pombe hupandi daladala! Unaingia kwenye gari yako au taksi off you go!!! Pombe ni nzuri na inafanya kuwa social but as you guys says we drink responsibly!!!
 
Yani kwa kifupi Mungu akuepushe na mimi, sio?

Lakini nashukuru, post hii imefahamisha kitu kimojaa.....

Tutofautishe ulevi na unywaji, kupiga moja au mbili na kwenda kulala haina mbaya
 
Akili ndogo zimesheheni kwenye hii thread, uchumi wa Taifa unaendeshwa na walevi halafu mwasemaje?

Reginald Mengi anakunywa pombe, nionesheni mwanamke gani humu atamkataa? Tuache unafki.

Mkapa anakunywa pombe, Kikwete anakunywa pombe, Lowasa anakunywa pombe, Magufuri licha ya kunywa amenogea mpaka ameadopt na jina kabisa pombe,

Nitarudi nawahi somewhere kidogo.

Bora usirudi baba angu maana maswali yako majibu hatuna lols
 
Bora usirudi baba angu maana maswali yako majibu hatuna lols

Najuwa unahitaji dompo jioni, drink responsibly.

Kanumba enzi za uhai wake wakati akihojiwa alisema hatumii kilevi chochote lakini mauti ulivyomkuta ndani alikutwa na Jaki Daniel iko nusu.
 
Pombe inaweza kuchangia, lakini pia ni tabia ya mtu tu, kuwa na dharau, shari au ubabe usiokuwa na msingi. Na ndoa nyingi za miaka hiyo ya 1942, zilikuwa si za maridhiano, ni za kuchaguliana tu, na wanawake huishi kwa nidhamu ya uwoga kwa kisingizio cha maadili, adabu au heshima, kumbe ni unyanyasagi uliovalishwa koti la uvumilivu.
 
Hehee kuna mlevi tunaishi nae,
Mke wake alimvumilia akashindwa akabeba kila kitu akakimbia
Sasa siku hizi jamaa anarudi usiku wa manane anapita kwenye madirisha ya watu na kukumbushia kila alichochukua mkewe na namna alivyokinunua..
Utasikia aliondoka na shuka zangu mbili nilinunua kariakoo 30000 pesa niliipata blablah...
Yaani ishu zake zote za ndani anasema anaongea mpaka anakata moto,
Pombe siyo ishu Mtu unalalia chaga unakunywa pombe za laki!!???
 
Back
Top Bottom