Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kwani gari yote hakukuna na abilia ambae angeshusha injili au mawaidha labda mngemuokoa baba enu/mama enu.
 
Apologise Lady,umenena mama pole kwa kadhia uliyokutana nayo,hakika mnywaji wa pombe,anaeuza,anaenunua,chombo kilichobebea wote wamelaaniwa-kwa mujibu Quran na Biblia
 
Kuna ulevi na unywaji. Hakuna anaependa mlevi. Lakini uzoefu unaonesha wanaume wasiokunywa huwa ni malaya sana, maana akili iko timamu muda wote na kuwaza ngono
 
Pombe si mbaya kama unakunywa kwa kiasi na unajielewa. Kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji, nakunywa lakin siwezi kosa kujielewa naendesha gari etc
 
Kuna ulevi na unywaji. Hakuna anaependa mlevi. Lakini uzoefu unaonesha wanaume wasiokunywa huwa ni malaya sana, maana akili iko timamu muda wote na kuwaza ngono

Hii dhana ipo kwa wengi sana na inaharibu kbs imani ya wanawake kwetu sisi tusiokunywa. Kama hunywi jua kuna starehe nyingne mtu anafanya km michezo,kuangalia sinema,uimbaji kwaya n.k.
Sio kila mwanaume asiyekunywa ni malaya
 
Kweli nikaamini mwanaume mlevi ni mzigo

Sio peke yako,tuliokuwemo ndani ya gari ile walifurahia kile kitendo.Hata na mm hakunifurahisha nilitamani nimwambie dereva amshushe ila nilimuheshimu umri wake.

Nilichogundua.
Mzee ana stress sana za maisha.
Inawezekana keshakatamaa na maisha.

Namshukuru Mola, mimi si mlevi ila nawajua marafiki zangu wengi sana ambao hawakuwa walevi, baada tu ya kuoa, weeeee, wamekuwa walevi wa kutupwa. Huenda hata huyu uliye kutana naye ni mmoja wa hao marafiki zangu.
Nilipochunguza, nkakuta kuwa chanzo ni WAKE ZAO!!! Amini usiamini, mtu anafikia mahali pa kutamani amchinjilie mbali mkewe lakini anashindwa, uamuzi ni kutia tungi mpaka baasi.
Walipoanza hawa Panya road ndo wamewafanya wanarudi home mapema wasije fia baa. Kwanza baa zenyewe zafungwa mapema siku hizi. Tatizo, mke mgomviiiiiii. Ana vijembeeeee. Anadai vijisenti vidogo vidogo kiila dakika. Sijui dawa ny mbu, chumvi, unga wa maandazi. Tatizo si matumizi, ni hiyo lugha mnayo itumia nyie wamama, hiyo sauti ni mizinguo yenuuuuu.
Hawa wazee wa umri huo, watakufa BP bureee. Bora waende baa tu. Naunga mkono hoja 100% Mpaka wake zetu mmbadilike
 
Sipendi pombe na namuomba Mungu aniepushie mnywaji wa pombe

My prayer too.

Mwanaume mlevi ni mzigo wa misumari, nimewashuhudia wengi wakilia wengine hata kuvunja ndoa kwa kushindwa kustahimili ulevi wa mume.
 
aliyekwambia nani? uliwahi kutumia?

Nashukuru mungu sijawahi kutumia hiyo kitu!...

ila naona impact katika jamaii!!

mfano mkubwa ni ROMBO hapo... imebidi serikali iingilie kati
 
My prayer too.

Mwanaume mlevi ni mzigo wa misumari, nimewashuhudia wengi wakilia wengine hata kuvunja ndoa kwa kushindwa kustahimili ulevi wa mume.


Mvinyo una raha yake bwana... Ulevi ndio tatizo, lakini once in a while na glass ya mvinyo mbona sawa tu!
 
Mvinyo una raha yake bwana... Ulevi ndio tatizo, lakini once in a while na glass ya mvinyo mbona sawa tu!

Akuuu! Safari moja huanzisha nyingine, mie sipendi na sitaki atumie hata glass moja
 
Kila mwanaume na ulevi wake kama si wanawake basi ndo kero kama hizo wanawake tuna kazi sana
 
Kuna ulevi na unywaji. Hakuna anaependa mlevi. Lakini uzoefu unaonesha wanaume wasiokunywa huwa ni malaya sana, maana akili iko timamu muda zzwote na kuwaza ngono
Iman za kizama sana.
Vipato vya mabaamedi ni vidogo na wanaishi kwa kuhongwa na wanaume walevi.
Sisi tusio walevi kazi yetu ni kutoa faraja kwa wanawake wa walevi.
 
Back
Top Bottom