Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Unaishi maisha ya mateso sana. Utakufa siku sio zako. Jichanganye na raia. Kunywa pombe so haramu kama inavyotafsiriwa hapa, mradi unywe kwa kiasi. Sas mtu kama wew what do u do for fun? Maisha ni hapa duniani. Ukishindwa ku enjoy ujue imekula kwako

Huyo ana ulevi wake, unaweza kuta ndo anatuharibia watoto wa miaka 16 huyo, miaka yote hiyo hunywi pombe stress zitakumaliza
 
Namna hiyo. Mwanaume utakunywaje maziwa kama mtoto. Kunywa pombe upate akili. Deals nyingi zinapatikana kwenye pombe.

Sio unakaa home unanyang'anyana remote control ya TV na watoto.


Ukitaka kupata marafiki na watu wenye nafac mbali mbali nenda bar, majibu ya matatizo yako utayapata.

Huko utakutana na
~waziri
~afisa mifugo
~mwalimu
~madaktari ndo wakumwaga
~wanasheria
~boc wako
~engineers
~DC, RC, RCO, DEO
na wengine kibao, kila dili litatiki tu, ila subiri nyumbani kama hutakuwa mtu wakutoa rushwa mpaka ufilisike
 
Sipendi pombe na namuomba Mungu aniepushie mnywaji wa pombe

Afu wanywaji hatumnunulii mtu soda kabisa, maana tunahisi inauzwa gali kuliko bia. Ila na sisi tunapenda wanawake wasiokunywa kabisa ili tuwapende, upendo wa agape
 
Kwa lafudhi yake unahisi anatokea mkoa gani? maana kuna sehemu inaitw Rombo inatoa kizazi cha walevi

Kuna jamaa juzi amekosa mrembo kwa kujitambulisha tu kuwa ni mrombo
 
Pombe siyo chai atauwe na heshima kiasi gani ukisha hitinga umekwisa
 
Wengine bila mvinyo mambo hayaendi kabisa yani..mwanamke akae nyumbani na watotoo tuangaliane nani ataleta hela nyumbanii?? Huo ndo mwanzo wakuchunguza ata visababu visivyo na ulazimaa na unoko kwa watoto.
Kula bia upate akili na dili.
 
Mkali_01
Duniani hupaswi ishi kama wengine, ishi kama wewe kwa njia bora na inayompendeza Muumba wako
 
Last edited by a moderator:
KV LONDON

Sio kila mtu ni mlevi na si kila mtu anafata mikumbo ya watu kulewa.
Pombe haziondoi stresss.
 
Last edited by a moderator:
Nalileta hili ili wanaume mjitathimini.

Nilikuwa sehemu fulani kijijini mkoa wa pwani, wakati narudi jioni hii njiani alipanda baba mmoja alikuwa kanywa pombe ila siamini kama kalewa, ambae kwa maelezo yake anakaa sinza, wakati tumeenda umbali mrefu karibu masaa mawili ghafla simu yake ikaita, akapokea ile simu neno aliloanza nalo ni "kwa nini muda wote hujanitafuta?? unanitafuta saa hizi wakati jua linaaga, mngese .............. sana wewe mwanamke, nimekuwekea charge hadi kwenye.........................(papuchi) yaani yakamtoka matusi yote then akakata sim, yaani gari zima turiboreka hakuna hata aliyemsemesha, kaona hiyo haitoshi kaanza kumsema mkewe madhaifu yake yote ndani ya gari, yaani anatoa maneno mazito mazito, kwa kweli wanawake wote tulinywea kama tumemwagiwa maji, baada ya hapo dada mmoja aakamwambia baba kwanini unashindwa kumsitiri mwanamke unaeishi nae??????? ndio kama aliwasha moto, mzee akasema yoteeeee yaliyomo na yasiyokuwemo loh!!, jamani mzee alizaliwa 1942 lakini, maneno aliyokuwa anatukana mmmh!!!!!!!! kweli nikaamini mwanaume mlevi ni mzigo, haraka nikamtathimini nikagundua:


  • kwanza ni mwanaume mchafu mchafu hadi basi.
  • Ni aina ya wanaume wanyanyasaji ambao anaweza kumsimanga mwanamke hata kwa chakula.
  • wababa wa aina hii ndio chanzo cha wanaume kuwa wa sasa kurithi unyanyasaji.
[/QUOTE


Ulevi na ustaarabu ni vitu viwili tofauti,huyo mwanaume ni sio mstaarabu maana mlevi hufanya vitu vya kujidhalilisha yeye mwenyewe bila kujitambua,ila huyo anaonekana anasumbuliwa na stress ila sio ulevi.
 
Back
Top Bottom