mkuu kwa hili nadhani unaweza kujiepusha mwenyewe
Wasiokunywa pombe wanakosa mengi, pombe ina raha....
Jack daniel + amarula
zanzi + konyagi is equal to fire kwa bed
Duh! Huyo mzee ana miaka 72 ila bado anavurugwa na mapenzi!
Kweli kabisa my mwanaume mlevi anakera kupitiliza
huyo kalelewa hivyo aisee.. pombe haihusiki kabisa
Apologise Lady,umenena mama pole kwa kadhia uliyokutana nayo,hakika mnywaji wa pombe,anaeuza,anaenunua,chombo kilichobebea wote wamelaaniwa-kwa mujibu Quran na Biblia
Kuna ulevi na unywaji. Hakuna anaependa mlevi. Lakini uzoefu unaonesha wanaume wasiokunywa huwa ni malaya sana, maana akili iko timamu muda wote na kuwaza ngono
Hii dhana ipo kwa wengi sana na inaharibu kbs imani ya wanawake kwetu sisi tusiokunywa. Kama hunywi jua kuna starehe nyingne mtu anafanya km michezo,kuangalia sinema,uimbaji kwaya n.k.
Sio kila mwanaume asiyekunywa ni malaya
My prayer too.
Mwanaume mlevi ni mzigo wa misumari, nimewashuhudia wengi wakilia wengine hata kuvunja ndoa kwa kushindwa kustahimili ulevi wa mume.
Iman za kizama sana.
Vipato vya mabaamedi ni vidogo na wanaishi kwa kuhongwa na wanaume walevi.
Sisi tusio walevi kazi yetu ni kutoa faraja kwa wanawake wa walevi.
Mi napenda mume anaekunywa pombe anakua mtamu sana full mahaba anakupenda wewe, pombe na watoto mume asiekunywa pombe simuwezi atakua boring nadhani starehe yake itakua nini kama sio wanawake
Mimi sijawahi tumia na siwezi kuwa na urafiki na mlevi, kuoa mlevi ndo kabisaaa haitatokea hata kama tumebaki wawili duniani bora nioe sabuni
mr. wise chai tu hizo, hata maziwa yenyewe yanayoondoa sumu mwilini yanaleta ugonjwa pia
tunyweni jamani cheers!!!
Mi napenda mume anaekunywa pombe anakua mtamu sana full mahaba anakupenda wewe, pombe na watoto mume asiekunywa pombe simuwezi atakua boring nadhani starehe yake itakua nini kama sio wanawake
Why Does Alcohol Affect Sexual Behavior? [SUP](6)[/SUP]
- Men and women both are more likely to engaged in casual sexual behavior when there is alcohol involved
- Alcohol lowers inhibitions about engaging in sexual behaviors
- Alcohol increases perceptions of attractiveness for both men and women, further promoting the possibility of engaging in casual sexual behaviors
- 65% reported alcohol or drugs being involved in their more recent casual sex encounter
- Ili kujilidhisha jiwekee question mark kichwani mwako na kujiuliza kwanini kuna ngono sana kwenye ma bar, jibu lake ni ayo maelezo juu. Ki ukweli Pombe inaweza kukufanya hata Baamedi ukamuona ni Cleopatra.
Kama umezaliwa lijali basi fanya haya
1. Fanya mazoezi kuweka mwili sawa. (Physical exercise)
2. Kimbia kimbia kutanua mapafu uwe na pumzi nzuri kiafya
2. Kula vizuri chakula cha maana cha kutosha
3. Jua namna ya kumuweka sawa mwenzio (sex positions)......hayo ni baadhi
Hapo Utaombwa poo sana hapo, alcohol haiplay part yoyote positive kwenye kungonoka ni misemo tu ya mitaani tuliyoizoea kama ile ya utotoni ya kusema mvua ikinyesha uku jua linawaka basi eti Simba anazaa
----sasa kama unashindia viepe, na pumzi huna ukipanda ngazi za ofisini tu unahema na jioni uko bar ni shida
Ujue mie ni MWANAMKE tena rijali...
Ungeniambia kwa kiswahili ndugu yangu sio wote tunajua hiyo lugha iliyokuja kwa meli ujumbe haujanifikia
Ujue mie ni MWANAMKE tena rijali...
Ujue mie ni MWANAMKE tena rijali...