Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

kweli nikaamini mwanaume mlevi ni mzigo

Sio peke yako,tuliokuwemo ndani ya gari ile walifurahia kile kitendo.Hata na mm hakunifurahisha nilitamani nimwambie dereva amshushe ila nilimuheshimu umri wake.

Nilichogundua.
Mzee ana stress sana za maisha.
Inawezekana keshakatamaa na maisha.

Inaonekana anavihela vya mawazo bila shaka atakuwa ametoka kuuza shamba,
 
Mkuu nilipokuwa 17 ningeweza vuta na kunywa sababu ya ujana, sasa hivi ni mzeee najielewa naanzaje anzaje onja kitu uzeeni?
Sina rafiki mlevi, siendi Bar, sijihusishi na mambo ya usiku eti nitakunywa bia, siendi club wala harusi yenye bia....
Am at a safe zone

Tuko wawili tu duniani mtoto wa kazi gani?
Hahahaa...mwombe Mungu akuepushe wengine wanaanziaga ndowani
 
Kwa lafudhi yake unahisi anatokea mkoa gani? maana kuna sehemu inaitw Rombo inatoa kizazi cha walevi

Ni mmachame, tena akasema biblia inayoaminiwa duniani ni biblia ya kimachame loh!!! Kwel pombe si chai,
 
Kwa lafudhi yake unahisi anatokea mkoa gani? maana kuna sehemu inaitw Rombo inatoa kizazi cha walevi

Mkuu wskikusikia wenyewe ujue utakuwa matatani kwsn juz kat hapa kuna wadau waliweza leta pettition ya kuandamana.....
 
Asa uliamini ni pombe ndo imemfanya awe kichaa? Wote wanaokunywa wanafanya hivyo? Wote wasiokunywa hawafanyi hivyo??

Asingekunywa pombe ningeweza kumwomba dereva tupitilize tukamwache muhimbili, ila kwakua kanywa bas hicho ni kichaa pombe tu, pombe inawadhalilisha sana nyie watu hamjui tu.
 
Mimi sitaacha pombe,maana haijawahi kunikosea.Mimi hunywa ijumaa jioni na jumamosi tu.

Jumapili hupumzika na familia baada ya kutoka kanisani. Ninywapo hujisikia raha sana. Sigombani,situkani. Bali huchekesha sana wenzangu.

Maendeleo nyumbani naleta.nasomesha watoto vizuri,kazini najituma,hata kitandani pia.

Kwa kweli nikiacha pombe,nahisi maisha yangu yatabadilika sana.Nitakuwa na stress za kufa mtu.

Sasa hivi yenyewe nimetoka kunywa Shots za Jack Daniels...Pombe sikuachi labda uniache wewe mpenzi.Amina
 
Namna hiyo. Mwanaume utakunywaje maziwa kama mtoto. Kunywa pombe upate akili. Deals nyingi zinapatikana kwenye pombe.

Sio unakaa home unanyang'anyana remote control ya TV na watoto.
 
Sipendi pombe na namuomba Mungu aniepushie mnywaji wa pombe

Kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji pombe! Mlevi ni tatizo! Kuna kijiji niliishi nilikuwa napata shida sana kupata mademu wa kabila Fulani,kwanini? Huwezi amini ni kwasababu sinywi pombe!
 
Back
Top Bottom