Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,364
- Thread starter
- #81
Ila hawakubaliWengi Dar wanaishi maisha ya kuungaunga sana na ukweli ni kwamba life linawachapa
Ila hawakubaliWengi Dar wanaishi maisha ya kuungaunga sana na ukweli ni kwamba life linawachapa
Dar mlituoshea sana zamani hizo miaka ya 97-98 😁😁 sasa hivi wala hamtushtui bro, nakumbuka mlikua mna kuja na zile game boys zenu, ili kuzishika tu mnatuambia tukaoge kwanza na kuvaa nguo mpya😁😁😁acha blaablaa nyingi mkuu njoo Dar ilipo Tanzania
Arusha boyKwan we Mwamba unapika ukiwa wapi?
Ahahha nawahurumia sana mbaya zaidi wanafosi maisha ambayo sio yaoDar es salaam Maisha ni magumu sana hasa kwa vijana wanaoanza maisha.
Hili jiji ni la mateso sana kwa kweli mungu tu awasaidie wale ambao wanapambana Dar na kijijini hakuna kitu (mashamba, mifugo)
Shida ubishi ukiwaambia ukweliWengi Dar wanaishi maisha ya kuungaunga sana na ukweli ni kwamba life linawachapa
Sasa mbona umetukalia ngumu hivi watu wa watuArusha boy
Nawachangamsha akili vijanaSasa mbona umetukalia ngumu hivi watu wa watu
👉Harufu za shombo ya supu ya pwezaSehemu kubwa ya jiji la Dar ni takataka, kuna wengi Dar ni kama tu wanaishi dampo
Maeneo mengine unajiuliza inawezekanaje binadamu kuishi maana kiafya ni hatarishi sana
Ukiwa na kinyaa huwezi kuishi Dar
Ukitoka nje ya Dar ukaenda mikoa yenye hewa nzuri, safi na baridi unainjoi
Ukirudi Dar unagundua hewa yake ni nzito na harufu za ajabu ajabu
Kama ni kweli Michael Jackson alipokuja Dar alisema jiji la Dar linanuka alikuwa sahihi sana
Daladala inaniwia ugumu kupanda ase👉Harufu za shombo ya supu ya pweza
👉Harufu za kondomu zilizotumika kila gesti yenye 😅dada poa
👉Harufu ya uduvi
👉Harufu za bhangi na shisha
👉Harufu ya jasho la kwenye daladala
👉Harufu ya makombo ya supu za mabaki ya makongoro
👉Harufu ya visamaki vya mbususu za kushare
👉Harufu za mashoga Kmmke mbona mtihani🥶🙌
Inategemea kama ni kwenda mbagala, gongo la mboto maji lazima uite m'maDaladala inaniwia ugumu kupanda ase
😂😂😂😂😂Kuna sehemu ina wapumbavu, washamba na maboya kupita Dar?
Jitu halina kazi lakini linaona aibu kufanya baadhi ya kazi. Mwanaume anajipura kuliko hata dada zake, mtoto wa kiume anajua habari za mwanaume mwenzie kuliko hata mke wa huyo mwanaume.
Usafir wangu mkubwa boltInategemea kama ni kwenda mbagala, gongo la mboto maji lazima uite m'ma
Mji haukupangiliwaJangwani ni eneo ya hovyo sana mvua ikinyesha na maeneo mengi yana hewa nzito sana dar.
Jana nilikuwa kariakoo nyuma ya china plaza sijui inaitwaje ile mitaa ila ni karibu na Agrey.... ebwana mvua imenyesha kuna maji machafu yametwama barabarani yanatoa harufu kali kweli utafikiri watu wametapisha vyoo, nilikaa pale kwa muda wa saa moja ila nilipata mateso makali sana sio kwa harufu ile, nilijikuta nawahurumia wafanya biashara wa lile eneo, halafu cha kustaajabisha zaidi nikawaona wengine eti wanakula na chakula kabisa licha ya harufu kali iliyokuwepo pale.Dar hihi ikifika kipindi cha mvua watu hugeuka vyura ndio ujione mjanja au unaongelea dar ipi
Huoni nishai mwanaume kupanda bolt, wewe panda dala dala ushikilieUsafir wangu mkubwa bolt
😂😂😂😂kama upo oystabey ,mbweni ,masaki na maeneo yanayofanana na hayo, tena zile sehemu nyeti tu hapo sawa, tofauti na hapo mvua zina nyesha huku kila mpanda uje tupige majaruba bwashee😁😁
😂😂😂😂😂Dar hihi ikifika kipindi cha mvua watu hugeuka vyura ndio ujione mjanja au unaongelea dar ipi
Watu wanafungua mashimo ya vyoo kipindi cha mvuaJana nilikuwa kariakoo nyuma ya china plaza sijui inaitwaje ile mitaa ila ni karibu na Agrey.... ebwana mvua imenyesha kuna maji machafu yametwama barabarani yanatoa harufu kali kweli utafikiri watu wametapisha vyoo, nilikaa pale kwa muda wa saa moja ila nilipata mateso makali sana sio kwa harufu ile, nilijikuta nawahurumia wafanya biashara wa lile eneo, halafu cha kustaajabisha zaidi nikawaona wengine eti wanakula na chakula kabisa licha ya harufu kali iliyokuwepo pale.
Kiukweli huu mji ni mchafu sana unatia kinyaa, ukitaka kuona hilo subiri kipindi cha mvua.