Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

Hellow

Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo

Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri wakuingize mjini

Na watu wa dar wengi wanajiamin kuwa wanajua kuvaa yaan wanaenda na wakati uongo sio wote ukitembea utakutana na vituko vingi sana kiasi hukutegemea kabisa

Kuishi kwako dar haimaanishi unajiweza uongo wengi dar wanaishi maisha ya kawaida sana tena kama mgeni usikimbilie kununua gar itakutesa mkuu

Kuishi kwako dar sio kwamba dar yote unaijua no kuna njia zingine uzijui kuwa mpole punguza ujuaji utashindwa saidiwa

Imekuaje baba Catress?
Umetapeliwa mtu akakulaumu umetapeliwaje na wewe ni mtu wa Dar?
 
Ahaha pambana kabisa sio kawe nenda mbweni kule
Sijamaanisha nitanunua kiwanja kawe kaka huko sipawezi ,nitaenda hata vikindu huko .
Ni jana kuna kampangaji nakauliza vipi mnaelewana vizuri hapo na hamgombani na wapangaji wenzio kakasema ndiyo .

Kumbe walishanishusha heshima kawapigia akina dada eti mbona simsomi mdogo wenu anapiga simu kunibughudhi ,wacha akina dada waniwashie moto mpaka nilianza kuogopa kupokea simu .

Sasa solution ni kujenga kibanda changu ili na mimi niringe tu vya urithi sio kabisa .
 
Back
Top Bottom