Cheki ulivyo mjingaHawa wala miguu ya kuku na bao la pweza ndio wanajiona wajanja😂😂
Kama upo mkoani we kubali tu kuwa shabiki yetu kabla wabibi hawajakurogaSipo dar nimeishi sana now nipo mkoani dar nakuja kulabat na kusepa
Umenikumbusha kuna dada yangu anakaa huko goba, kuna siku kapiga simu anaomba atumiwe vitu vya kula na pesa za matumizi, nikafikiria mbona huyu ni nyumbu sana ,kaacha mashamba kijijini miaka zaidi ya 40 yupo dar si arudi tu kijiji kushika jembe ,huku sisi tunakula mpaka tuwabakizia na nguruwe😁😁😁😁Huko mikoani wanakaa mafans wetu mkuu, Dar ni Dar tu haijalishi mtu anakaa Goba, Mvuti, Kibamba wala Chanika mwisho, wote ni masuperstar huez linganisha na wa uko Kakonko ndanindani kuoga mpaka mvua inyeshe 😂
😂😂 watu wana mahangaiko
kwanza elewa maana ya usuperstar mkuu, sisi huku tunaishi stress free tukijua mashabiki zetu washamba huko vijijini watatupa sapoti 😂Umenikumbusha kuna dada yangu anakaa huko goba, kuna siku kapiga simu anaomba atumiwe vitu vya kula na pesa za matumizi, nikafikiria mbona huyu ni nyumbu sana ,kaacha mashamba kijijini miaka zaidi ya 40 yupo dar si arudi tu kijiji kushika jembe ,huku sisi tunakula mpaka tuwabakizia na nguruwe😁😁😁😁
Kaka karibu njombe , huku viazi na mayai mnavyoita chips, buku unakula na kusaza😁😁😁Kama upo mkoani we kubali tu kuwa shabiki yetu kabla wabibi hawajakuroga
Fanyeni wepesi wa kuvituma huku Tanzania tulipo mastar wenu mpate walau hela ya kushona nguo za vitenge😂Kaka karibu njombe , huku viazi na mayai mnavyoita chips, buku unakula na kusaza😁😁😁View attachment 3292107
Kaka huku ni jembe tu , tukirudi jioni tunahesababu mayai kama matano fresh ,tunapsaulia kwenye sufuria tunakula , huku tukisubiria kuku mzima wa kienyeji achemke , huku hatuli miguu ya kuku na kichwa kaka hivyo ni vya mbwa kiongozi 😁😁kwanza elewa maana ya usuperstar mkuu, sisi huku tunaishi stress free tukijua mashabiki zetu washamba huko vijijini watatupa sapoti 😂
Huko mabonde kuinamaKwan we Mwamba unapika ukiwa wapi?
Kaka vijinini kwa sasa tunauza mazao tunanunua matreka ya kupiga kazi 😁😁 mzigo ukiiva nairobiiiiii😄😄Fanyeni wepesi wa kuvituma huku Tanzania tulipo mastar wenu mpate walau hela ya kushona nguo za vitenge😂
acha blaablaa nyingi mkuu njoo Dar ilipo TanzaniaKaka huku ni jembe tu , tukirudi jioni tunahesababu mayai kama matano fresh ,tunapsaulia kwenye sufuria tunakula , huku tukisubiria kuku mzima wa kienyeji achemke , huku hatuli miguu ya kuku na kichwa kaka hivyo ni vya mbwa kiongozi 😁😁
Kabisa na sio njaa tu ata umeme unalipiwa na wazazUmetoka nyumbani kuja Dar ili ubadilishe hali ya maisha ya kwenu lakini kwenu wasipokutumia debe la mahindi unaweza kufa njaa
Hiyo hiyo ya majiDar hihi ikifika kipindi cha mvua watu hugeuka vyura ndio ujione mjanja au unaongelea dar ipi
Duh poleKama upo mkoani we kubali tu kuwa shabiki yetu kabla wabibi hawajakuroga