Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #101
Hapana nikipanda bas ni zile makumbusho posta makumbusho morocco makumbusho gobaHuoni nishai mwanaume kupanda bolt, wewe panda dala dala ushikilie
Boo-mba
Hapana nikipanda bas ni zile makumbusho posta makumbusho morocco makumbusho gobaHuoni nishai mwanaume kupanda bolt, wewe panda dala dala ushikilie
Boo-mba
Cheki ulivyo mjinga
Yaani kuku watoke singida waliwe dar halafu uwaite wala miguu ya kuku
🤣🤣🤣Pole sana Huwa wanatabia ya kutapisha machemba ya vyoo mvua inyeshapo huoni maji yalivyo na rangi nyeusi na harufu juuJana nilikuwa kariakoo nyuma ya china plaza sijui inaitwaje ile mitaa ila ni karibu na Agrey.... ebwana mvua imenyesha kuna maji machafu yametwama barabarani yanatoa harufu kali kweli utafikiri watu wametapisha vyoo, nilikaa pale kwa muda wa saa moja ila nilipata mateso makali sana sio kwa harufu ile, nilijikuta nawahurumia wafanya biashara wa lile eneo, halafu cha kustaajabisha zaidi nikawaona wengine eti wanakula na chakula kabisa licha ya harufu kali iliyokuwepo pale.
Kiukweli huu mji ni mchafu sana unatia kinyaa, ukitaka kuona hilo subiri kipindi cha mvua.
hawa wajinga walituoshea sana miaka ya late 90s na early 2000s, yaani ilikuwa kuishi dar ni kama huko peponi..Dar mlituoshea sana zamani hizo miaka ya 97-98 😁😁 sasa hivi wala hamtushtui bro, nakumbuka mlikua mna kuja na zile game boys zenu, ili kuzishika tu mnatuambia tukaoge kwanza na kuvaa nguo mpya😁😁😁
Kumbe ndio michezo yao? Mimi nikajua hiyo tabia iko uswahilini huko manzese na kwingineko, kumbe hadi kariakoo na yale magorofa yao?🤣🤣🤣Pole sana Huwa wanatabia ya kutapisha machemba ya vyoo mvua inyeshapo huoni maji yalivyo na rangi nyeusi na harufu juu
Sasa jichanganye kipindi cha mvua uvae viatu vya wazi utarudi na fangasi zisizotibika
👉Harufu za shombo ya supu ya pweza
👉Harufu za kondomu zilizotumika kila gesti yenye 😅dada poa
👉Harufu ya uduvi
👉Harufu za bhangi na shisha
👉Harufu ya jasho la kwenye daladala
👉Harufu ya makombo ya supu za mabaki ya makongoro
👉Harufu ya visamaki vya mbususu za kushare
👉Harufu za mashoga Kmmke mbona mtihani🥶🙌
Hii combo ya minuko=mnuko promax
Kukaa au kuishi kwenye maghorofa si kipimo cha ustaarabuKumbe ndio michezo yao? Mimi nikajua hiyo tabia iko uswahilini huko manzese na kwingineko, kumbe hadi kariakoo na yale magorofa yao?
Aisee na kweli maji ni meusi kweli mpaka unajiuliza, huu uchafu ni wa nini...!? Kweli hili jiji la waswahili.
View: https://youtube.com/shorts/25pyFPj_Th8?si=PeStS_m7kCVKid6x
Kijana wa dar akiwa anajitayarisha kwenda forodhani kuongeza nguvu za kiume na bao la pweza 😂
Ila dah! Eti kakonko wanalala saa 12 jioni kuogopa majambazi 😂Huko mikoani wanakaa mafans wetu mkuu, Dar ni Dar tu haijalishi mtu anakaa Goba, Mvuti, Kibamba wala Chanika mwisho, wote ni masuperstar huez linganisha na wa uko Kakonko ndanindani kuoga mpaka mvua inyeshe 😂
Hellow
Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo
Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri wakuingize mjini
Na watu wa dar wengi wanajiamin kuwa wanajua kuvaa yaan wanaenda na wakati uongo sio wote ukitembea utakutana na vituko vingi sana kiasi hukutegemea kabisa
Kuishi kwako dar haimaanishi unajiweza uongo wengi dar wanaishi maisha ya kawaida sana tena kama mgeni usikimbilie kununua gar itakutesa mkuu
Kuishi kwako dar sio kwamba dar yote unaijua no kuna njia zingine uzijui kuwa mpole punguza ujuaji utashindwa saidiwa
Ahaha
h hapana mimi tangu nifike dar nilitaka kuibiwa mara moja tu kariakoo tena kuna jamaa akanisanua kunihelp