Binafsi ninaamini ktk uumbaji wa aina mbili, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Yaani namaanisha ktk Roho na Mwili. Katika hivi vyote, roho vinakuwa powerful kuliko mwili.
Ninaamini Mungu kaumba vinavyoonekana au kuhisika kama Binadamu, wanyama, upepo n.k Ninaamini pia uumbaji wa Malaika, roho chafu n.k maana hizo zote ni Mungu aliumbaga huko zamani.
Ikiwa hao Aliens mnawaweka ktk kundi la Malaika wale wachafu walioasi basi nnaweza nikawa na wewe kwa 100% lakini sio mbali na hapo.
Ninaamini sn ktk maandiko matakatifu na hizi zama ni zama ambazo zinajadili sn uweza wa Mungu, mara hayupo, mara ametokea wapi, mara amefanya hiki n.k. Tunajadili kumhusu Mungu tunaona kama tunajadili wazazi wetu vile