aiseeee we ni kilaza sijapata kuona ulicho kiandika kina sadifu jinsi ubongo wako ulivo mzito kufikiriMan you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Sio lazima the bold ndo aseme kila kitu jaman wengine haya tulikuwa hatuyajui kama imekuboa lala co lazma kutoa michango....Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Huu ni upuuzi wa hali ya juu,haya ni mahaba yaliyopitilizaaaMan you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Mkuu,shukran kwa post yako hii inayoonesha inatoka kwa mtu anayefuikiri....nashindwa kusema kama ni kweli ama ni uongo!,lkn nikiangalia mazingira ndio naweza sema huenda kukawa na viumbe wengine zaidi yetu,sidhani kama hizo nyota zipo angani kama mapambo tu.. ila uhakika wa kusema "ndio" kuna viumbe wengine nje ya dunia hilo ndilo nalositia!.
Ktk upande wa pili kama kuna watu wanatambua kuna alien hlf wanaficha lzm tuwaangalie ktk jicho la ulakini either wana yao ajenda 1.yakutawala
hili ndilo limebeba dhana kuu ya lengo lao ama ktk ukweli au udanganyifu!.
chengine kama watu hao wanashirikiana na alien ili kuangamiza wengine basi watakuwa wamepotoka either kwa kudanganywa ama kuambiwa ukweli!
inaniwia vigumu kusema kwamba sayari hii ilikuwa ni ya alien! na kwa kusema hivyo kutakuwa kumeharibu historia mbalimbali zinazoaminika kama ndio mwanzo wa maisha ktk dunia..
kipi kiliwaondosha hao alien hapa duniani..?
na kipi kinawarudisha hao alien hapa duniani..?
wapi mwanadamu na viumbe wa hapa duniani chanzo chake..?
Ahsante sana kwa kutambua hili mkuu....Mkuu Eiyer kwanza nikupongeze sana kwa thread nzuri na ya kufikirisha
Kimsingi ni kweli humu duniani kuna mambo ambayo hayaeleweki vizuri na hii ni kutokana kuonekana kuna kundi moja na viumbe linakuwa na ajenda fulani inayopelekea kuendesha harakati fulani fulani zinazofanya wasieleze ukweli wa yanayotokea hapa duniani hivyo unachosema huenda kiko sahihi au kinyume chake...hii dunia ina mambo mengi sana yaliyojificha ambayo wataalamu wanajitahidi yatambulike lakini nina maswali
1. je inawezekana wanasayansi wakawa wanatupa/kutulisha taarifa ambazo sio sahihi au kwa muonekano wao waliochofikiri kikundi kinachofanya utafiti?
Lengo na Muumba linatofautiana kutoka dini moja kwenda nyingine hivyo ni suala la dini husika kusema lengo hili.Lakini kimsingi ni kwamba kuna nguvu fulani inayosimamia kila kitu kiende kama inavyotaka yenyewe na ndiyo maana hata unaona kuwa kuna ugumu wa kutekeleza baadhi ya mambo....2. Vipi kuhusu Muumbaji aliumba mwanadamu kuja kumalizwa na viumbe wengine na sio kifo pekee?
Kwa hili sina jibu la moja kwa moja lakini kwa mimi binafsi ninaamini katika hukumu ya Mungu kwa dunia hii...3. kwa hiyo ipo siku hii dunia itakuwa ya wengine na sie tutakwenda kuishi huko walipokuwa wanaishii wao?
Usijali mkuu....usisahau kuni tag (bila kukosea) ili niweze kupata ufahamu wa mambo haya
Ahsante sana kwa kutambua hili mkuu....
Kimsingi ni kweli humu duniani kuna mambo ambayo hayaeleweki vizuri na hii ni kutokana kuonekana kuna kundi moja na viumbe linakuwa na ajenda fulani inayopelekea kuendesha harakati fulani fulani zinazofanya wasieleze ukweli wa yanayotokea hapa duniani hivyo unachosema huenda kiko sahihi au kinyume chake...
Lengo na Muumba linatofautiana kutoka dini moja kwenda nyingine hivyo ni suala la dini husika kusema lengo hili.Lakini kimsingi ni kwamba kuna nguvu fulani inayosimamia kila kitu kiende kama inavyotaka yenyewe na ndiyo maana hata unaona kuwa kuna ugumu wa kutekeleza baadhi ya mambo....
Kwa hili sina jibu la moja kwa moja lakini kwa mimi binafsi ninaamini katika hukumu ya Mungu kwa dunia hii...
Usijali mkuu....
I will back for this..
Mkuu huko Zimbabwe hao alien aliewaona ni nani? Itakuwa hao hao wenye hizi propaganda.Nilishawahi kukutana na taarifa ikionesha kuwa hata huku Afrika hao Aliens walishawahi kuonekana na tukio la karibuni zaidi ni la kwenye shule moja kule Zimbabwe....
Mkuu,kuna mambo mengine ukiyajua kuwahusu hawa Aliens maswali yanapata majibu taratibu tu na yanaisha,acha tuendelee kujifunza kuhusu haya kisha tutaendelea kupata ukweli zaidi mkuu....
NWO ni ishu pana sana mkuu na sidhani kama ni sawa kusema tu kirahisi kuwa imeshashindwa,tuendelee kujifunza mkuu....
Kama ulishawahi kuipitia Allegory of the cave ya Plato utanielewa vizuri sana mkuu...Mkuu asante sana
unazidi kunifikirisha sana kuhusiana na ulimwengu tuliomo.
najaribu kufikiria vita vinavyoendelea kila pembe ya ulimwengu kwamba ni mapandikizi ya watu wachache ya kutaka wengine kuendelea kufikiri vita na wakati huu wao wakiendelea kuubadilisha ulimwingu.
Kwanza jambo ambalo ninalifahamu ni kwamba uwepo wa viumbe hawa unawanufaisha maana wanaweza kupata access ya info ambazo hawakuzijua hapo kabla na kuwafanya wawe juu kisayansi kwa namna ya kutisha kabisa....1 je kama wanajua kwamba kuna viumbe wengine ambao ni hatari wanaficha nini kuelezea ulimwengu kwa sababu mwisho wa siku na wao watakuwa katika hati hati hiyo hiyo
Hili uwezekano wake ni mdogo sana maana ni viumbe wa hali ya juu kuliko,kama wameumbwa au kutengenezwa basi itakuwa vimetengenezwa na viumbe wengine ambao ni hatari zaidi kiubora....2. je kuna uwezekano wa hivyo viumbe kutengenezwa nao na kama ndivyo wakileta madhara si inakuwa kwa wote
Kwa namna nijuavyo ni kwamba watakuja kupambana na nguvu hii na watashinda na hii ni kwa mujibu wao wenyewe,acha tusubiri tuone mkuu....3. Hiyo nguvu inayosimamia kila kitu nini matarajio yao ya baadae kwamba kutawala dunia je kifo kipo mbali nao au watakuwa wametengeneza anti kifo