Kuiper Belt: Behind the certain

Mambo ya aliens kwa kweli nafikiri yapo, kutokana na hapo juu kuhusu nyota/jua, lazima ktk kila jua kuna sayari moja iko kama yetu, that much i understand, na nakubali yawezekana sayari kama zetu zitakuwa kibao huko, zikiwa na viumbe wenye uwezo kiakili kuliko sisi, lini dunia yetu wataimaliza hatujuwi, ila kutokana na vitabu wanasema kufifia kwa jua ndio mwisho wetu, mabilioni ya miaka yajayo ofcourse, sisi hatutakuwepo, ila dunia itaisha tu.
Ni somo kali lenye kuhitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na sio sisi wenye kuamini dini za waarabu au wazungu, yahitaji IQ ya uhakika kwa kweli, thread bomba...endelea mkuu
 
Mkuu

Kuna kitu tunafichwa kwenye haya mambo,kama usemavyo inahitaji akili kali kuyaelewa.....

Lakini taratibu tutakuwa tunajifunza na tutaelewa tu mkuu....

Jambo ambalo najiuliza ni kwamba,kama hawa viumbe ni kitishi [threat] kwetu,ni kwanini hatuelezwi ukweli?

Nitaendelea kufanya utafiti mkubwa kwenye hili hadi tujuwe ukweli zaidi.....
 
Jambo ambalo najiuliza ni kwamba,kama hawa viumbe ni kitishi [threat] kwetu,ni kwanini hatuelezwi ukweli?
Viongozi wetu ndivyo wanavyoongoza nchi, mambo ni mpaka yawe na uhakika ndipo sisi twaelezwa, otherwise wananyuti wakiendelea na upelelezi, hawataki raia wao wa panic, this is a serious matter bro, NASA wako dedicated kabisa na hili..sio elimu yetu tunashindwa kusoma hata mikataba, wengi TZ hawatakuelewa kabisa, this is an alien territory for them...
 
Na utaelewa kwanini hawatakuelewa sababu mpaka leo wanaamini kuna mti wa ajabu, eti unalia, eti haukatiki, eti viungo vya albino vyaleta utajiri, eti ukisomewa dua wafa, eti umelogwa mtaani!
Wapo watu mahiri humu utaelewana nao kuhusu hili, ila wengi watatupia comments ambazo hata wewe utajiuliza elimu ya bongo kweli ni elimu au ni ya kusoma na kuandika tu..
 
Viongozi wetu ndivyo wanavyoongoza nchi, mambo ni mpaka yawe na uhakika ndipo sisi twaelezwa, otherwise wananyuti wakiendelea na upelelezi, hawataki raia wao wa panic, this is a serious matter bro, NASA wako dedicated kabisa na hili..sio elimu yetu tunashindwa kusoma hata mikataba, wengi TZ hawatakuelewa kabisa, this is an alien territory for them...
Mimi nafikiria kinyume na wewe mkuu....

Siyo kweli mkuu kuwa hawana uhakika isipokuwa hawataki tujuwe...

Kuna afisa mmoja wa MI6 aliona ushahidi kwenye document za siri juu ya jambo hili,nitakuja kuandika siku moja kuhusu hilo na nitaeleza kwa kina,sasa hivi ninakusanya data kwanza....
 
Kimsingi ninavyojua ni kwamba hawa Aliens wapo hapa duniani na wamekuwa wakiishi na binadamu tangu enzi hizo na najua wanahusika na mambo mengi anayokutana nayo binadamu....

Binadamu yupo siyo kwa sababu ya bahati mbaya mkuu,kuna nguvu inayosimamia uwepo wake na kuhakikisha anaendelea kuwepo...
MWENYEZI MUNGU anasimamia..acha niwe kama Tomaso mpaka siku hao alliens watakapojitokeza ndo ntafikiri vingine!..
 
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Yani mtu uliyemuambia anatoa nonsensical thread anakujibu karelax hana hata panic kwasababu kaishakusoma anakujibu wewe ni mtu wa aina gani kichwa kikubwa akili kizibo
 
Eiyer ulipotea sana au labda mimi sikuoni..
binafsi kuna binadamu/watu kama einstein...michael jackson..mess..n.k nafikiri bongo zao si zakawaida.. waweza kuwa ni uzao wa hawa viumbe kwakweli
Mkuu umenifanya nimecheka sana...

Kuna Aliens ambao wanafanana na binadamu na hwezi kuwajua,hawa nadhani wanafanya kazi maalum.....

Kuna binadamu ambao ni machotara wa hawa viumbe ambao kimsingi ni zaidi ya binadamu...

Lakini kuna uwezo wa kawaida wa binadamu wa kufikiri pia ambao kimsingi ni mkubwa ila sikubali kuwa maendeleo ya kisayansi ni product ya ubongo wa binadamu kufikiri pekee...

Mkuu niposana naona tunapishana tu....
 
Umenikumbusha Wanefili, waliwaingilia binti za wanadamu wakazaa nao
 
Mimi nafikiria kinyume na wewe mkuu....

Siyo kweli mkuu kuwa hawana uhakika isipokuwa hawataki tujuwe...

Kuna afisa mmoja wa MI6 aliona ushahidi kwenye document za siri juu ya jambo hili,nitakuja kuandika siku moja kuhusu hilo na nitaeleza kwa kina,sasa hivi ninakusanya data kwanza....
Mkuu Eiyer mie nilisoma kitabu cha Sidney Sheldon The Doomsday of conspiracy anazungumzia Hawa viumbe huko alps mountain
 
Back
Top Bottom