Kuiper Belt: Behind the certain

Comments za wengi zinaonesha hawajajiuliza, na walio jiuliza wanapingwa kwenye huu uzi wako..!
We jamaa utakuwa mnafiki na mzushi laa wewe na mwenzio mnadharau wengine mnajiona mnajua sana ila mnataka kubembelezwa sasa bakini nayo anzisheni nyuzi zenu tutachangia hapa naona mnazingua tu
 
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
we ni bure kabisa,kwani nani amekwamia mleta uzi yuko kiushindani,yani nyie majitu mengine ndio hao sijui alleans,kama imekushinda kusoma pita kimya kimya ,nyama wee
 
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads

bulshit!!!!! kuna mahali amemtaja the bold au the bold kuna mahali amelalamika?? hata the bold nae anahitaji wenzie. acha usenge na tabia za kike. sijawahi kusikia au kusoma mahala the bold akijisifu, acha kumchonganisha na wenzie
 
Huu ulimwengu kuna mambo mengi sana na makubwa ya siri hatuyajui.
Siku kukiyajua sijui itakuwaje
 
Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Umeladhimishwa kusoma
 
Back
Top Bottom