Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,417
Mkuu achana nayoHakuna anayetaka kuvaa viatu vya yoyote....
Its looks like una jambo,huna kitu cha maana cha kufanya mkuu ukaachana na haya mambo ya kupoteza muda bila sababu ya msingi?
Mkuu achana nayoHakuna anayetaka kuvaa viatu vya yoyote....
Its looks like una jambo,huna kitu cha maana cha kufanya mkuu ukaachana na haya mambo ya kupoteza muda bila sababu ya msingi?
Mkuu,humu duniani kuna mambo mengi kweli kweli ambayo hayasemwi na ukiyatazama kwa jicho la tatu utaweza kuunganisha dots na ukapata kitu...Niliiona halafu ghafla ikapotea nikajiuliza kulikoni?ahsante Eiyer huu Uzi unanirudisha nyuma kdg ila ktk upande ule wa akina Pindar na wenzake,je Pindar na hawa aliens wako pamoja
Tuko pamoja mkuuMkuu,humu duniani kuna mambo mengi kweli kweli ambayo hayasemwi na ukiyatazama kwa jicho la tatu utaweza kuunganisha dots na ukapata kitu...
Nitakuwa naandika haya masuala kila nikipata wasaa ili kila mmoja aweze kuunganisha dots yeye mwenyewe na kupata jibu....
Mkuu wewe kuwa mpole kwa sasa na utakuwa unaunganisha mwenyewe tu....
mkuu nijumlishe kwenye kumbukumbu kila unapotoa bandiko hapa kwamaana mimi ni muumini sana wa haya mambo. asante sanaMkuu,humu duniani kuna mambo mengi kweli kweli ambayo hayasemwi na ukiyatazama kwa jicho la tatu utaweza kuunganisha dots na ukapata kitu...
Nitakuwa naandika haya masuala kila nikipata wasaa ili kila mmoja aweze kuunganisha dots yeye mwenyewe na kupata jibu....
Mkuu wewe kuwa mpole kwa sasa na utakuwa unaunganisha mwenyewe tu....
kwani nani kasema mkuu eiyer anashindana na the bold? Ni ukweli ambao uko wazi kua the bold ni mzuri kwenye fasihi simulizi kama sio andishi ila kilakitu kina mahala pake mkuu huwezi kua na mkeo ukaanza kuzungumzia habari za mchepuko ingawa kwa marafiki zako ni stori poa,ila hata hivo kwani umeshikiwa bunduki usome post ya mkuu ya eiyer? kama unaona the bold ndie anaefaa kuandika makala ndefu peke yake basi subiri aandike halafu utasoma.Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
kwahiyo nayo ilitekwa ?? hahahaMkuu
Hii thread ilikaa huko mafichoni kwa siku karibia tano na sijui mods walikuwa wanaifanyia nini lakini nadhani leo au usiku wa jana ndiyo wameiachia...
Karibu sana mkuu tufikirishe ubongo wetu....
Mkuu twende kwa hoja na ushahidi, jibu maswali hapo chini:Kimsingi ninavyojua ni kwamba hawa Aliens wapo hapa duniani na wamekuwa wakiishi na binadamu tangu enzi hizo na najua wanahusika na mambo mengi anayokutana nayo binadamu....
Binadamu yupo siyo kwa sababu ya bahati mbaya mkuu,kuna nguvu inayosimamia uwepo wake na kuhakikisha anaendelea kuwepo...
Hahahahaa....kwahiyo nayo ilitekwa ?? hahaha
lakini afadhali imerudishwa bila ya yale mabango na hashtag za bringback...
asante sana ila mada kama hizi hua zinahitaji akili iliyo huru ndio mtaenda sawa otherwise mapovu bila sabuni...
pamoja sana mkuu hua nafuatilia mabandiko yako kimyakimya ila leo nimejishindia kutoa volume na nahisi ushakutana sana likes zangu,cheers boss.
amsr
Kila mmoja ana haki ya kuamini chochote mkuu....Kwanza me naamini alien are myth hivyo hakuna MTU aliyemuona hata baadhi ya picha zako ni za kutengenezwa hakuna exactly alien picture so there is no proof of their existence
Hao hao wataalam ndiyo wanategemewa kwenye sayansi kuleta tafiti ambazo zitasaidia maendeleo ya kisayansi,sasa nashindwa kukuelewa unaposema kwamba hao wataalamu ndiyo wanaoleta mambo yasiyokuwa na ushahidi wa kisayansi.....Imeanza vizuuuri, lakini baadaye zikaanzwa kuingizwa story za "wataalam", wataalam wa maneno ambao sifa yao ni kuzusha conspiracies ambazo hazina ushahidi wa kisayansi wala mashiko.
1;Kwa mujibu wa taarifa nilizonazo ni kwamba Aliens wanaishi kwenye underground bases [D.U.M.Bs] zilizoko maeneo tofauto tofauti chini ya ardhi....Mkuu twende kwa hoja na ushahidi, jibu maswali hapo chini:
1. Umesema aliens wapo duniani, je wanaishi eneo gani, wanakula nini, wanavaa nini, wanazaliana? na wanafanya shughuli gani? Ikiwezekana weka picha yao wakiwa duniani.
Namna ambayo wanaitumia ni ya kuzungumza,wana uwezo mkubwa wa kuongea ligha yoyote lakini wao kwa wao hawazungumzi isipokuwa wanawasiliana kwa kusoma mawazo ya wengine.Wanaweza kusoma mawazo ya binadamu pia lakini kwakuwa binadamu hawezi kusoma mawazo yao inabidi waongee ili kuwasiliana na binadamu....2. Je, hao aliens waliopo duniani wanatumia njia gani kuwasiliana na binadamu?
Taarifa za jambo hili ni ndogo sana lakini ni kwamba hao hao Aliens walishakutana na binadamu na kusema kwa nyakattofauti tofauti na jambo hili halisemwi ndiyo maana taarifa ni ndogo....3. Hao watafiti wamejuaje aliens wanataka kumuangamiza binadamu?