Nililionya mwaka 2021 JF kuhusu Nyerere Day kudharauliwa nikapuuzwa, familia na Kanisa Katoliki Butiama waibuka nalo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,045
Kanisa Katoliki Butiama Mkoani Mara pamoja na Wanafamilia wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wameomba Siku ya Mwalimu (Nyerere Day) jnayoadhimishwa tarehe 14 ya kila mwaka ibakie peke yake na kamwe isihusishwe na tukio lingine lolote (mfano kuzima Mwenge) au kuweka mashada ya maua kwa viongozi wengine ili kumuenzi vyema na kumuheshimisha kwa kila kizazi.

Taarifa: Gazeti la Nioashe la Leo tarehe 15 Oktoba, 2023 Ukurasa wa Tatu (3).

Mkiambiwa kuwa GENTAMYCINE si binadamu wa kawaida na ana Shani/Tunu nyingi (hasa za Upeo na Maono) alizopewa nae Mwenyezi Mungu muwe mnakubali hata kama mpo/wapo Wanaomchukia.

Tarehe 14 Oktoba, 2021 hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilianzisha Uzi (na bado upo utafuteni) wa kutahadharisha hiki ambacho hatimaye jana kanisa Katoliki Butiama na wanafamilia wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wamekizungumza na kuomba kifanyike.

Kuunganisha Nyerere Day na Matukio ya kipuuzi na ya kinafiki ya uzimaji wa Mwenge na kuweka Mashada kwa viongozi wengine waliomfuatia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni kutaka kwa makusudi na kimkakati kumfifisha kihistoria kwa vizazi, kutaka kumpuuza, kutaka kuonyesha hakuwa na umuhimu huo na kwamba waliomfuatia na hata wa sasa ndiyo wameifanyia/wanaifanyia makubwa Tanzania.

Haya GENTAMYCINE nilipotahadhirisha hili mlikuja kunishambulia, kunishangaa na mkachagua kunipuuza hebu sasa fanyeni hivyo kwa Kanisa Katoliki Butiama Mkoani Mara na familia yake kama mnaweza na mna uthubutu huo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kuniumba "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
 
Hayo ni maoni yao. Mwalimu Nyerere aliuasisi mwenge wa uhuru tena kwa maneno na ujumbe yenye busara kabisa.Mmojawapo ni huu
'Penye Giza pakawe na nuru'

Ndani ya mwenge wa uhuru Bado falsafa za Mwalimu Nyerere zinaishi. Huwezi kutenganisha mwenge na Mwalimu Nyerere. Hizo chuki na mitazamo ya wapinzani inatetewa na baadhi ya viongozi wa dini havina mashiko
 
Tunatukuza visivyokuwa na faida.
Hii inawahusu wanafamilia tu, sisi wengine haina umuhimu kwetu.
20231015_123334.jpg
 
Kanisa Katoliki Butiama Mkoani Mara pamoja na Wanafamilia wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wameomba Siku ya Mwalimu (Nyerere Day) jnayoadhimishwa tarehe 14 ya kila mwaka ibakie peke yake na kamwe isihusishwe na tukio lingine lolote (mfano kuzima Mwenge) au kuweka mashada ya maua kwa viongozi wengine ili kumuenzi vyema na kumuheshimisha kwa kila kizazi.

Taarifa: Gazeti la Nioashe la Leo tarehe 15 Oktoba, 2023 Ukurasa wa Tatu (3).

Mkiambiwa kuwa GENTAMYCINE si binadamu wa kawaida na ana Shani/Tunu nyingi (hasa za Upeo na Maono) alizopewa nae Mwenyezi Mungu muwe mnakubali hata kama mpo/wapo Wanaomchukia.

Tarehe 14 Oktoba, 2021 hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilianzisha Uzi (na bado upo utafuteni) wa kutahadharisha hiki ambacho hatimaye jana kanisa Katoliki Butiama na wanafamilia wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wamekizungumza na kuomba kifanyike.

Kuunganisha Nyerere Day na Matukio ya kipuuzi na ya kinafiki ya uzimaji wa Mwenge na kuweka Mashada kwa viongozi wengine waliomfuatia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni kutaka kwa makusudi na kimkakati kumfifisha kihistoria kwa vizazi, kutaka kumpuuza, kutaka kuonyesha hakuwa na umuhimu huo na kwamba waliomfuatia na hata wa sasa ndiyo wameifanyia/wanaifanyia makubwa Tanzania.

Haya GENTAMYCINE nilipotahadhirisha hili mlikuja kunishambulia, kunishangaa na mkachagua kunipuuza hebu sasa fanyeni hivyo kwa Kanisa Katoliki Butiama Mkoani Mara na familia yake kama mnaweza na mna uthubutu huo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kuniumba "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
Naunga mkono hoja 👍👏👏
 
Uko sahihi sana
 
Back
Top Bottom