Kama yeye amefanya utani, basi atakuwa mpuuzi wa kutoka nje ya nchi😡😡😡Kama huyo mtu ana uwezo wa kutuma Message anashindwa nini kufungua uzi maalum wa kuwaaga wana jf, ama kukoment basi kwenye uzi mwngine aage!
Kama ni mtu mnakaaga mahali mnapata vitu mbalimbali obvious utakuw unajuana na rafiki zake wengine, Jaribu kucheki nao kama kuna ambae mshkaji amewasiliana nae au anataarifa zake, au uwaombe wamchek ili ujue moja!
Huenda pia ni utani wake kwako coz hatujui mipaka yako na yeye
Ndio tunajuana lakini hatufahamianiKwa haraka haraka kuna kitu hapo, naweza sema wanajuana....Mimi kweli nikutxt mentor, mentor, mentor from no where????
Kama mnajuana hapo sawa ukute anataka mkaendelee mlipoishia kama kawaida....Adamu akamjua mkewe...Ndio tunajuana lakini hatufahamiani
Inawezekana kweli ikawa ni mzaha tu, ila atakuwa anafeli sana kwa kiwango cha flyover... Japo pia hatuna uhakika, ndo maana nkakushaur ujarib kuchek na rafki yake wa mtaa unaemjua!Kama yeye amefanya utani, basi atakuwa mpuuzi wa kutoka nje ya nchi😡😡😡
Nahuja, Mimi nnachokiona hapaNdio tunajuana lakini hatufahamiani
Kwa haraka haraka kuna kitu hapo, naweza sema wanajuana....Mimi kweli nikutxt mentor, mentor, mentor from no where????
Evelyn Salt huyu ni rafiki yangu katika kunywa pombe tu. hajawahi hata siku moja kunieleza mambo ya mapenzi. Lakini ukweli mimi na yeye wote ni watu wazima sio watoto (kama wa JF) hahahahahaNahuja, Mimi nnachokiona hapa
1. Rafiki yako analia kilio cha huruma, either katika urafiki wenu alishakuhitaji kimapenzi ukamkataa nae hataki kukubaliana na hali anajaribu kutumia hii mbwinu
2. Hajawahi kukutamkia anaumia ndani kwa ndani, anaona atumie hii mbinu ya huruma ili kukupata.
3. Ana upweke
Hapana hajawahi. ila kuna sehemu nimejibu kwa mfano kama hapa hivi:NAHUJA mbona hujibu maswali ya msingi wanayouliza wadau, jamaa ashawahi kuomba mzigo b4 ukamkatalia?
Evelyn Salt huyu ni rafiki yangu katika kunywa pombe tu. hajawahi hata siku moja kunieleza mambo ya mapenzi. Lakini ukweli mimi na yeye wote ni watu wazima sio watoto (kama wa JF) hahahahaha
Hajawahi kukuomba mzigo ukambania? Huenda ameamua kutumia mbinu kuwa ni heri afe, ili uende akugegede!Jioni nikitoka hapa kwenye shughuli zangu, nitapita kwake. Ahsante kwa ushauri wako mkuu
HajawahiHajawahi kukuomba mzigo ukambania? Huenda ameamua kutumia mbinu kuwa ni heri afe, ili uende akugegede!
Inawezekana anakukubali sana ila huwa anasita kukueleza, hebu mtumie meseji kwamba baadae unaenda kumpa papuchi, halafu uone kama hajaghairi kwenda kwa baba!Hajawahi
mmmmh!Inawezekana anakukubali sana ila huwa anasita kukueleza, hebu mtumie meseji kwamba baadae unaenda kumpa papuchi, halafu uone kama hajaghairi kwenda kwa baba!
Kweli mkuu, fanya hivyo...mmmmh!
Weka screenshort au namba yake hapaHata sijui mkuu!!!!
Mmh nimejaribu kupiga haipatikanj[emoji47][emoji47][emoji24]Wanajf habarini za asubuhi.
Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.
Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.
Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.
1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.
Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF
Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
Umepiga ramli?😳😳Mmh nimejaribu kupiga haipatikanj[emoji47][emoji47][emoji24]
Ana no nyingine? Ya tigo haipatikaniMkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!