Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Hakuna unafiki hapa!
Mkuu hiki ni kipimo tosha, ukiona watanzania mbumbumbu wameshtuka ujue kuna kitu!

Manji kaonewa kwa hili, yaan ad waswahili waliokuwa wanampinga now wanamuunga mkono
Hahahahahha napita maana Tanzanians are very dilemma when you have they will come with decorated words and dought ones.where did he/she gets those wealth ?they will impose some rumours evidence to stress what they believe ....This is Tanzania
 
Mkuu nadhani unaweka na ushabiki wa kisiasa katika hili jambo.Manji alikwisha achia madaraka yake katika kampuni kwa hiyari mwaka jana.Sasa kamishna anaposema walikuwa wanataka kumkamata jana tunapatwa na mashaka kwamba hili jambo si la kampuni bali ni yeye kama "Yusuph" ndio wanayemtaka.
Aliyemkabidhi madaraka yupo nchini?
 

Kweli sio utani, ukifuatilia mfano mifuko ya jamii hasa pale wanaposema alichukua mkopo wa 9b kutoka mfuko mmojawapo akajenga majengo na baadae akawauzia mfuko uleule uliomkopesha kwa 90b.

Hii habari haijawahi kukanushwa!
Sema Watz mentality za kitumwa zimetutawala sana na hata wanaotufanyia haya wanalijua hili. Ni ngumu kuongelea ufisadi TZ na kumsideline huyu bwana japo atajificha chini ya mwavuli wa ubaguzi (kuonewa kwa uhindi wake).

Ni sawa kuwa hakufanya haya yote direct maana alikuwa na vibaraka wake serikarini lakini kuna haja ya kurudisha hadhi ya utawala japo awamu hii nayo inakuja na miluzi miluzi mingi!
Inamaana yeye alikuwa Mkurugezi NSSF? Ilikwa mtakatifu kumpatia Ubalozi fisadi Dau?
Tafakari jitambue
 
Nikiwa bar sipendi ile yule mupe yule muruke
Tatizo baada ya onyo la makaburi, wenzake wote wame lay low ye kajifanya jogoo la kijiji kasahau kuna KIDERE [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kinacho tusumbua watanzania ni njaa tu. Mkuu usione wanamtetea tatizo njaa siyo kingine watu wanashindwa kuwatetea ndugu zao walifungwa bila hatia wanamtetea bepari wapi na wapi wanajua Mali zake anavyozipata? Mwacheni ajibie yanayomuhusu yeye ni mtanzania kama wengine wewe unaemtetea ni nani? Na unamtetea amekuomba? Au nikujipendekeza tu na kama amekuomba subiri wakati mwafaka ukamtee usitupigie kelele hapa nani asiejua mabepari wanatumia vyeo vyao kuficha maovu yao? Wewe mtu povu linakutoka na kama kweli anamakosa utasema nini? Nasema mwacheni awajibike kama watuhumiwa wengine.
Kwa hiyo hata wewe ukipandikiziwa kesi tushangilie?
 
Mbona hivyo vyote wakati vinatokea CCM ilikuwa inaongoza nchi , lakini hatukuiti wewe ni mnafiki wa kiwango cha Airport kuendelea kuishabikia ccm!!!!????
Mi sishabikii CCM fuatilia maandiko yangu, ila kwenye hili kuna jambo nimetaka kuweka sawa, nimeona it's too much
 
Hivi hao walio kubali kuuziwa walikuwa katika akili zao timamu au walishikiwa mtutu wa bunduki? Ni sheria gani inayo kataza ukikopa kutoka kwa mtu usiweze kufanya nae biashara? Yule ni mfanyabiashara, akili ya mfanyabiashara siku zote ni kuwaza fursa na namna atakavyoweza kuitumia hiyo fursa kujipatia faida katika kile alicho invest.Hivi unataka kutuambia katika hiyo mikopo alikuwa hatozwi riba?
Mikopo haramu ya kugawa pesa pande zote za wasaini mikataba?
 
Nyingi kati ya hizo kashfa ulizotaja zinamgusa au kumuhusu moja kwa moja MTU au WATU ambao hawakamatiki,hawaulizwi,na hawana ujinga hata wa kusikiliza...Ndio maana kila zikiibuka inaanza chain yote kusomwa mwisho unamkuta GrandMaster...inabidi ukunje mkia katikati ya miguu kama mbwa koko na urudi ulikototoka tena kwa ADABU ya KIWANGO CHA HALI YA JUU NA MISAMAHA ENDELEVU....
 
Back
Top Bottom